We ni me au ke, na uo uanasheria umesomea wapi hata hujui kujieleza? Weka cv yako vzr. Dini, kabila, mahali unapoishi na sifa za huyo mchumba unaemtafuta
nashukuru kwa comments zenu, wote mlikoment inaonekana mnayo interest..mbarikiwe sana. haya basi.. kwa kifupi anahhitajika .. wa kike, mzuri, urefu wastani, rangi yoyote ile..elimu ya chuo kuendelea..mkristo..sio mlevi..wala mtumiaji wa sigara..mchapa kazi..asiye tegemezi..anayependa dini ..nadhani nimeeleweka kidogo waungwana..