Mchumba anasomeshwa

Kazi ya kusomesha sio ya vijana wanaounga unga maisha hata hela ya boxa mawazo....ndio hawa kutwa kutupigia kelele mchumba hasomeshwi hasomeshwi wekeni hizo senti zenu ziwasaidie
 
 
Umesomesha mke na mama watoto wako, sio mchumba uyo

#mchumba hasomeshwi
 
Nakazia #mchumba hasomeshwi
 
Wewe kiazi hata demu ukishampa mimba au akiwa na mtoto wako analea huwa Hana swaga tena , lazima atulie mana soko linapunugua , washikaji wengi tuu wanasomesha mademu wenye watoto wao ..... Wewe ulisomesha mke sio mchumba

Ukiwa na demu anasoma mpe mimba tuu ajifungue huyo atakuwa ni wako tuu , atakuja kuanza kusumbua akiwa hata na watoto watatu usumbufu ambao ni wa kawaida kwenye ndoa .... Unamsomesha yupo pure 😁😁😁😁😁 dhubutuuuuu
 
Anasomeshwa.
Nilisomeshwa na baba watoto kabla hata ya kufikiria kama kuna siku tutakuja kuwa na watoto.

Nipo hapa nilipofika Kwa sababu ya msaada wake,kipato ninachokipata sasa hivi ni Kwa sababu ya Elimu aliyonipatia.sio kubwa Kwa wengine lakini kwangu ni kubwa kupitiliza.

Ninajiendeleza mwenyewe kufika mbali zaidi.nimepanga nitakuja kumpa zawadi ya shukurani.

Mungu azidi kumpa maisha marefu yenye mafanikio kila kukicha yeye na familia yake 👏
 
si am
Boss nina uhakika najua kiingereza zaidi yako. Nimekaa miaka 10 naongea kingereza tu, kiswahili nikipiga simu bongo ndio naongea. Anyway umesikika, asante.
ekusahihisha tu lakini mkuu
 
kwani imebase kwa wanaume tu kusomesha wanawake? kwani mwanamke awezi kumsomesha mwanaume?
 
Unjani Mfowethu. Thina Abazulu sithi " Iqaqa alikwazi kunuka" Umepima DNA ya watoto kuhakikisha ni wakwako?
Katika somo kubwa nililojifunza ha JF ni hilo. "MCHUMBA HADOMESHWI" nami naogezea "MKE PIA HADOMESHWI" Nadhani ni suala la muda tu utakuja elewa.
UKULUNKULU ABE NAWE NKOSI
 
 
badilisha heading tafadhali baba khumbu,huyo hakuwa mchumba bali mke,yaani mtu mpaka ameacha mtoto nyumbani alafu unasemaje?
kwa huyo mke wako hana tofauti na wale wanaume wanaoamua kuwaendeleza kielimu wake zao na hilo jambo limezoeleka hata akipata kibwana cha kumtafuna bado atarudi kwako
Hash tag#Mchumba hasomeshwi.
 
hongera wewe Mungu atakuzidishia ila wengi huwa wanakula kona
 
Yaan unamaanisha TUSIWAAMINI hawa viumbe,
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…