Mchumba anasomeshwa

Hapana, hakuwa mke kipindi ninamsomesha. Tumeoana baada ya kumaliza chuo. Niliandika barua tu kama mama ake alivyoomba. Nimemuoa baada ya kumaliza chuo na ndipo nilipolipa mahali yake.
 
Umesomesha mke na mama watoto wako, sio mchumba uyo

#mchumba hasomeshwi
Hakuwa mke wakati anasoma. Alikuwa ni mchumba tu. Nilikuwa sijamuoa wala kumtolea mahali. Nilikuwa nimemtolea barua tu, au tafasiri ya mchumba ni nini?
 
Kwani tafasiri ya mchumba ni nini?
 
Kunjani mfethu? Godwa usiqwiza wakho nilimkuta bikra uwena how come ukhulume mambo ya DNA?
 
Mimi nilisomeshwa
Ila bahati mbaya tukaachana tu
Na hadi Sasa kama Nina shida ananisaidia bila mjadala
Sema sometime Huwa namuonea huruma hadi nalia

Sent from my CPH2185 using JamiiForums mobile app
 
Mimi nilisomeshwa
Ila bahati mbaya tukaachana tu
Na hadi Sasa kama Nina shida ananisaidia bila mjadala
Sema sometime Huwa namuonea huruma hadi nalia

Sent from my CPH2185 using JamiiForums mobile app
Kwa nini mliachana? Nani alimuacha mwenzie? Kabla ya kukusomesha mlijuana kwa muda gani?
 
Kunjani mfethu? Godwa usiqwiza wakho nilimkuta bikra uwena how come ukhulume mambo ya DNA?
Izinto za bafazi ziyasinda kakhulu. DNA Kuphela uzokwazi iqiniso. Bayakhuluma manga labo abafa Kanye namantombazane
 
Izinto za bafazi ziyasinda kakhulu. DNA Kuphela uzokwazi iqiniso. Bayakhuluma manga labo abafa Kanye namantombazane
Inategemea mkuu. Sawa mambo ya wanawake ni mazito sana ila kwa huyu wa kwangu hakuna kitu kama hicho. Kwanza watoto wote ni kama nimejipiga copy.
 
Nazan kuwa kwenye jiji moja wkend mkawa mnakutana hii pia ilipunguza ushawish kwa huyo mwanamke,ila ingekuwa wewe upo huko mwanza afu mwanamke anasomea dar leo ingekuwa habar nyingine

Pole sana kwa kukutana na sera za kijinga za yule pimbi kutoka chato akakubebesha mzigo wa kuhenyeka mke alipokuwa chuo
 
Hakuwa mke wakati anasoma. Alikuwa ni mchumba tu. Nilikuwa sijamuoa wala kumtolea mahali. Nilikuwa nimemtolea barua tu, au tafasiri ya mchumba ni nini?
Mchumba ni yule ambaye hamjakutana kimwili. Umepeleka barua kwao na unamsubiria taratibu nyingine zikamilishwe kisha ahamie kwa mwanaume awe mke.
Huyu wa kwako hakuwa mchumba bali mzazi mwenzako ambaye mlipata mtoto wa zinaa.
 
Mchumba hakusoma Dar alipata chuo nyanda za juu kusini. Nilikuwa nasafiri at least mara mbili kwa mwaka kwenda kumcheki. Kipindi anasoma high school ndio tulikuwa wote maana alikuwa hapa hapa Dar.

Hahahaha huyo pimbi wa chato umemjuaje mkuu? hahahah!
 
Hongera kwako๐Ÿ‘๐Ÿผ๐Ÿ‘๐Ÿผ๐Ÿ‘๐Ÿผ
 
Mkuu ulikua unasomesha MKE sio MCHUMBA... over.!!

Kauli mbiu ni ileile......
MCHUMBA HASOMESHWI [ or else at your own risk.!!. ]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ