Kingeke Mavoya
JF-Expert Member
- Jan 27, 2017
- 619
- 598
Kichwa cha habar hakiendani na uliyoandika!
btw we hujasoma? Kama huna digirii wala dipuloma me nakutaka mana me pia sijasoma
Huu utani sasa, huoni aibu kusema hujasoma wakati unajua ku-log in jf!?Kichwa cha habar hakiendani na uliyoandika!
btw we hujasoma? Kama huna digirii wala dipuloma me nakutaka mana me pia sijasoma
Nimetumia akili ya darasa la saba bila hivyo usingeingia na hata motoni utaingia kwakuona njia imepambwa ila ukifka ndani motooo kutoka ng'ooKichwa cha habar hakiendani na uliyoandika!
btw we hujasoma? Kama huna digirii wala dipuloma me nakutaka mana me pia sijasoma
Sasa kama mwanaume yeye kasoma iweje amuoe huyo ambaye hajasoma wakati yeye msomi..Issue nni ndogo! Mwanaume ukioa mwanamke aliyesoma ilhali wewe hujasoma au una elimu ndogo, Mara nyingi kuna inferiority complex huwa inawakumba wanaume waliowengi!
Mkeo anaweza akajichanganya kidogo akakukwaza tayari mawazo yanakupeleka kama aninifanyia hivi kisa elimu yake!
Sasa kuepuka hilo Dada zetu wanaweka kigezo cha kutafuta aliyesoma ili kipunguza migogoro isiyo ya lazima
Hujasomaje wakati umesoma hapa hahahahaKichwa cha habar hakiendani na uliyoandika!
btw we hujasoma? Kama huna digirii wala dipuloma me nakutaka mana me pia sijasoma
Heee[emoji15] [emoji15] kwani apa wote jf wana digirii na diploma? Me nimesoma shule ya msingi najua kusoma na kuandikaHuu utani sasa, huoni aibu kusema hujasoma wakati unajua ku-log in jf!?
Yaan sijasoma hzo elimu za juuHujasomaje wakati umesoma hapa hahahaha
[emoji3][emoji3][emoji3]wewe memkwa unazingua, umejuaje kichwa hakiendani na kilichoandikwa. Wewe utakuwa profesa lipumbaKichwa cha habar hakiendani na uliyoandika!
btw we hujasoma? Kama huna digirii wala dipuloma me nakutaka mana me pia sijasoma
Hodiii PMHeee[emoji15] [emoji15] kwani apa wote jf wana digirii na diploma? Me nimesoma shule ya msingi najua kusoma na kuandika
Ukiona mtu anafananisha kuolewa ni sawa na ajira ujue hapo hamna kitu....Habari zenu wakuu, natumai hamjambo kabla ya yote ningeomba tusaidiane hili la kutafuta wachumba kwamba asilimia kubwa ya wanaume wakitafuta wachumba hua wanazungumzia sana tabia nzuri na hofu ya mungu ila wadada lazima wazungumzie kuhusu kazi nzuri au elimu ya chuo dgree, diploma nk
Sasa naomba kuuliza kwamba ina maana watu ambao hawajaenda chuoni hawana dgree diploma wala kazi nzuri hawaoi? Najiuliza nakosa jibu ila chakushangaza nikiangalia kwa uhalisia wale ambao hawana utajiri wala elimu kubwa ndio wenye kudumu kwenye ndoa..
Hebu tusaidiane vijana wenzangu mnaojua zaidi kuhusu hili
Kama huna diploma wala degree basi uwe na pesa au maisha yatakayomhakikishia binti ataishi bila kuhesabu paa kwa njaa.Habari zenu wakuu, natumai hamjambo kabla ya yote ningeomba tusaidiane hili la kutafuta wachumba kwamba asilimia kubwa ya wanaume wakitafuta wachumba hua wanazungumzia sana tabia nzuri na hofu ya mungu ila wadada lazima wazungumzie kuhusu kazi nzuri au elimu ya chuo dgree, diploma nk
Sasa naomba kuuliza kwamba ina maana watu ambao hawajaenda chuoni hawana dgree diploma wala kazi nzuri hawaoi? Najiuliza nakosa jibu ila chakushangaza nikiangalia kwa uhalisia wale ambao hawana utajiri wala elimu kubwa ndio wenye kudumu kwenye ndoa..
Hebu tusaidiane vijana wenzangu mnaojua zaidi kuhusu hili
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] we nae nani kakuleta humu?[emoji3][emoji3][emoji3]wewe memkwa unazingua, umejuaje kichwa hakiendani na kilichoandikwa. Wewe utakuwa profesa lipumba
Na ametueza kweliWabongo Ukitaka upate attention zao weka heading km hizo, Halaf ndan andika shairi
Kichwa cha habar hakiendani na uliyoandika!
btw we hujasoma? Kama huna digirii wala dipuloma me nakutaka mana me pia sijasoma