SWEET GIRL
JF-Expert Member
- Dec 29, 2011
- 520
- 377
Weka kidogo hata wasifu wake wa nje mfano:-
Umri
Urefu-
Kilo-( ili apate chaguo lake maana wapo wanaopenda wanene pia wapo wanaopenda wembamba au mwili wa kawaida)
Rangi ( sie wengine twatoka bara huko rangi ni deal)
Ana watoto au hana( ili mtu ajipange kwa kulea
Asante!
Salaam wandugu,
nina shosti wangu ambae anatafuta mchumba/mume.alikuwa masomoni kwa kipindi kirefu na amejikuta amemalizia muda wake mwingi masomoni na umri ukiwa umeenda sana.anapendelea mwanamme mtu mzima kidogo umri kuanzia miaka 35-40.awe mkristo,na elimu ya kawaida tu.la muhim pia awe mtanzania.mambo mengine mtawasiliana kikubwa awe sirias.
vigezo na masharti kuzingatiwa kama uko interested basi ni-pm kwa maelezo zaidi.
thanx
salaam wandugu,
nina shosti wangu ambae anatafuta mchumba/mume.alikuwa masomoni kwa kipindi kirefu na amejikuta amemalizia muda wake mwingi masomoni na umri ukiwa umeenda sana.anapendelea mwanamme mtu mzima kidogo umri kuanzia miaka 35-40.awe mkristo,na elimu ya kawaida tu.la muhim pia awe mtanzania.mambo mengine mtawasiliana kikubwa awe sirias.
Vigezo na masharti kuzingatiwa kama uko interested basi ni-pm kwa maelezo zaidi.
Thanx