Anatafutwa mchumba mwanamume aishiye bara la Ulaya ama Americas. mtafutaji ni dada yangu ni mjane mkristo ana umri wa miaka 55 na watoto wawili. Ni mkulima mjasiriamali. Ni mcheshi na mcha Mungu, mkweli na mwaminifu. Wenye nia ya ukweli pm via Moony.
55 hehee labda wapelekee hili tangazo wanajeshi wastaafu utabahatisha! Lakini kwa uelewa wangu ni kuwa 98% ya wahitajio wenza ni kati ya 18-40
Miaka 55 mwenza wa nini tena?
Mbona ukimwona hata wewe mwenyewe utablow!
hivi wajane mke au mume hawastahili kuwa na wenza tena?
Kwa nini usiseme ukweli ni wewe badala ya kumsingizia dada yako? unapata dhambi.
55 hehee labda wapelekee hili tangazo wanajeshi wastaafu utabahatisha! Lakini kwa uelewa wangu ni kuwa 98% ya wahitajio wenza ni kati ya 18-40
Miaka 55 mwenza wa nini tena?