Mchumba 'angu amemegwa halafu ka confess

Mkuu kama umeamua kusamehe samehe mazima, huwezi kuingia ndoani bila trust ni kazi bure, utakuwa unajiumiza mwenyewe

Mkuu as long as the kids are not involved,move on!

Si imeandikwa kuwa... samehe si mara saba tu, bali saba mara sabini! Basi msamehe nawe akusamehe...!

Lakin kumbuka hata bible inasema,usimwache mwenzako kwa namna yeyote ile isipokuwa uzinzi!just check an altenatives,they are plenty

Piga chini, kwa mwendo huo atakuja kukuletea mtoto mwarabu then aconfess. Hovyo sana huyo dame!

pole sana mkuu...hawa wanawake siku hizi ni aibu sana wanaleta mi nimeamua kuwa mgumu asilia

binadamu sote tunakosea. Pamoja na kujitahidi kuushinda udhaifu kwa binadamu upo tu. Samehe tu ndugu yangu, mpe nafasi nyingine. Kwa kuwa bado unampenda, usiujeruhi moyo wako mwenyewe kwa kumwacha. Alichofanya ni kweli kinauma lkn samehe x 70.

Samehe tu mkuu...things happen maana ubinadamu kila mtu anao, hata wewe na mimi

Najua unampenda sana, ila atakuletea magonjwa. Ukijua kupenda ujifunze pia na kuacha. MUACHE SI MWAMINIFU, ANATAMAA. Kama hauamini baki naye, ija ATAKUUMIZA TENA. Pole ndugu.

Piga chini, kwa mwendo huo atakuja kukuletea mtoto mwarabu then aconfess. Hovyo sana huyo dame!

well said mkuu.
Yani hapo kama ni mm ni kuchapa lapa tu.
Labda kama jamaa nae ni mmegaji nje hapo itakua ngoma droo.
Bt kama mm ni muaminifu then yeye alete mapepe, ni kumwaga tu.

binadamu sote tunakosea. Pamoja na kujitahidi kuushinda udhaifu kwa binadamu upo tu. Samehe tu ndugu yangu, mpe nafasi nyingine. Kwa kuwa bado unampenda, usiujeruhi moyo wako mwenyewe kwa kumwacha. Alichofanya ni kweli kinauma lkn samehe x 70.

mkuu mambo mengine ni ku risk, hv mtu kashamegwa na watu wawili within 5 months! Je ingekua 2 yrs ingekuaje? Kuna magonjwa mkuu hebu muonee huruma jamaa mana hapo anatafuta kifo ni bora amtose tu.

Achana naye c mwaminifu atasahau thn ck nyingine atakuja kukuumiza zaidi tena! Heri kinga kuliko tiba bwana!

angeconfes mapema bila wewe kumshawishi ningesema ameikataa hali hiyo, lakini kwa style hiyo muepuke.

Aisee hapo ipo wazi hutakaa umuamini kamwe 2nd~ Kunauwezekano ulikua humridhishi kimapz ndio maana akachek pembeni..amerudi kwako baada yakuona kule pia hakumfai...sasa atakapo toka tena akakutana na atakaye mgusa vilivyo basi utamsahau koz atakuacha yeye.Kumshawishi mwananke mpaka akavua chupi cjambo dogo...sio sawa na mwanaume kushawishiwa akavua boxa wch z very easy.
Sasa mdau....kubali maumivu sasa umuache kuliko maumivu ya baadae kuachwa wewe...Hawanaga huruma kwenye kuacha mtu hawa dada zetu.GO men

pole sana mkuu...hawa wanawake siku hizi ni aibu sana wanaleta mi nimeamua kuwa mgumu asilia

Sasa mdau...kutokua na mpenzi sio ugumu ni tatizo tafuta Psychologist akusaidie.
Labda iwe ni fikra ziczo komaa za enz ya sec' school.
grow up hapo inamaanisha still una pain ya past relation....find your woman she is out there go and make her yours bro...Usilaze damu.Toa hizo fikra...Hamna kitu kama ugumu duniani...Go & find Love...go...gooo ...go men!

Utasahau tu.ucmwache.

Hatasahau....naikitoke ukasafiri tena tu mawazo yatakua ni yaleyale....
Unajua nn nirahic kwa mwanamke kuabstain .....I wonder yeye miezi 3 cjui 5...tayari kashapinduliwa na hao ni ulio wagundua...hw abt siri nyingine aliokuficha..naamini siri mtu unayoigundua nia % ndogo tu ya siri nzima...Je umewaza hiloo? Au yuko na wewe coz anauhakika wa kula kesho na keshokutwa.....Hayuko kimaslahi huyo?
Fikiria mwisho wa siku maamuz ni yako.

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…