Mchumba 'angu amemegwa halafu ka confess

ebwaneeh,,,,...ningekua mimi siku hiyo hiyo namwacha,mana ina uma kiukweli..lakini kwa kua umemsamehe kuwa mgumu kama star wa live free or die hard 4(Bruce wills)...ila una moyo
 
angekuwa mke kwa confession kuwa amemegwa ni warrant ya kwao sembuse huyo mchumba tu. hutakuwa na amani kabisa ukiingia naye katika ndoa na kuacha itakuwa vigumu kwa hiyo tupa mziko machakani songa mble kiume. wakati mwingine katika maisha lazima tujikusuru vitu tuvipendavyo kwa ajili ya afya za mioyo yetu. just do away with that ..hore
 
Ningekuwa niko kwenye nafasi yako japo ni ngumu ningejitahidi sana kumpa second chance....
 
huyu lazima ningemtafuna tig.......yaani najiexpress kwa kwenda mbele.......
 
nakuomba na kukushauri huyo siyo mwanamke hata kama sio leo utakuja ujute katika maisha yako ya mbele achananye huyo
 
Achana nae kaka, najua utaumia sana lakini utatulia tu. Hapa najaribu kukuepushia maumivu endelevu... Hujui hao waliokuwa wanammega walimfanyia nn mpaka asiwasahau!!! C unajua hawa bweha wanavyojitumaga kwa vyakuiba....
 
Nilisamehe kwa moyo wote, na tofauti na mwanzo nikajipa muda mwingi wa kukaa nae na kumshauri jinsi ulimwengu ulivyo na namna ya kuvishinda vishawishi, it seemed to have worked! A lot passed, uphills and down the valleys then we were blessed with a child mwaka jana na tukaanza maandalizi ya ndoa, literally ilibidi iwe October mwaka huu, lakini kilichotokea najuuuuta kumfahamu! all along she was playing at the background the very same old game. Na from nowhere akanipiga kibuti cha fukuza mwizi bila kosa lolote na bila kujali kuwa mimi ni baba wa mtoto wake and the little empire that we have created! it broke me to dust aisee, only knowing later kuwa she is pregnant with a man she was cheating with na njia pekee ilikuwa ni kutoka nduki, Maumivu niliyonayo can only be experienced not expressed, Inauma sana aisee, Inauma kuliko ilivyotokea mwanzo. I am done with Believing in Love. I AM DONE! THE GAME IS OVER.
 
pole mkuu,but imebaki kama somo kwetu sisi. "KISICHO RIZIKI HAKILIKI"
 
..kaka chapa lapa faster matezo ya moyo ya nini, life expectancy ya m-tz male ni 40 years chukua maamuzi magumu
 

Binafsi sijakuelewa unachohitaji...! Umekwishapata uamuzi wa kumsamehe, na ukamsamehe...! Sasa tukushaurije tena? Tafadhali nisaidie...!
 
mkuu pole sana, omba mungu atakupa mwongozo ni nn cha kufanya.
Mkuu naomba ufafanuzi, hao watu 2 walimega maramoja moja?
au walijipigia mi-mechi kibaoooooooooooooooooo?
coz anaweza kuwa mtu mmja, ila kilasiku analisukuma gozi
 
Tumia line nyingine ndo hasira yako itaisha. TIGo express yourself
 

aisee! Pole sana ndugu!
 
Kama hajakupa magonjwa...ni kushukuru tu, just go ahead!! Achana nae!!
 
Pole, ckuiz abiria chunga mzigo wako, kosa 1 cross 10, wanasema wakikutana leo wanamalizana leoleo.. Hakuna kugandana gandana
 
Vunga vunga,ukiona karibu linakupasukia kaa pembeni uwe mtazamaji kaka wanao kupenda wengi kuliko kwanini ujipe homa ya moyo kwa mtu ambaye hakupi furaha unayo stahili kwenye ndoa
 
We ata ukimkuta na wanaume kumi wanamla tigo utamsamehe tu.

Hivi mbona moyo wako mgumu kama vyuma vya reli?

Nimekumbuka kitu,huyo ni mwanamke pekee yake duniani.
 


dah kaka mkubwa pole sana, hope utarecover soon, maana maumivu yake unajua mwenyewe
 
nakuonea sna huruma sijui umerogwa au umepewa limbwata? kama kakiri mwenyewe upumbumbavu alioufanya ww unataka nn yena kaaingiziwa mipiriti miwili da aibu iliyoje? achana naye hana maana!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…