Viumbe wazito.Mkiombwa hela mnalalamika tunawachuna sana tujiongeze
Tusipoomba tunaambiwa tunachepuka kuna mtu anahudumia
Viumbe hamna jema nyieeee,nimewatua [emoji17][emoji17][emoji17][emoji17][emoji17]
[emoji23] [emoji23] [emoji23]Huyo mwanaume nimempenda bila hela
Zawadi yangu[emoji17][emoji23] [emoji23] [emoji23]