Mjanja M1
JF-Expert Member
- Oct 7, 2018
- 4,058
- 14,382
Kupitia akaunti yake ya Instagram Sutibega_ anaandika:
"Wakati kakaangu Haji Manara anatafuta mke sahihi nilikuwa sielewi kwani niliambiwa wanaake wengi hawajui kushukuru hawajui thamani ya mtu anejitoa na kupambana hakuna siku nimeumia kama leo nakutambua kumbe nilikuwa daraja la mafanikio sikuwahi kujua maana halisi ya waliosema mwanamke hasomeshwi.
"Wala usikubali kuweka nguvu yako kwake nikawa kipofu nakuona wenzangu wana wivu na ndoa yangu kweli nimeamini. Siku moja Mungu atajua nilipo kutoa na ulipofika na atanilipia angalau kwa dua njema muombee mkeo afanikiwe ujue kiburi chake, ila wakati yuko chuo unapambana nae mpaka muda mwengine unalipa ada adabu yake utasema nimechelewa nini kufunga ndoa, nakuombea ikawe biashara kubwa kwako amina.
"Najua kuna kipindi utakumbuka ulipotoka na ulipo kwa sasa na nani alisababisha wewe kufika hapo, wanaokujua wanajua nilipokutoa na wanaonijua wanajua nilivyoweka muda wangu na akili kwako ili ufanikiwe. Kibri na kutokusIkiliza, imekuwa shida kwa muda mrefu walotuzunguuka wanajua kibri nje ya mtandao."