Mchumba hasomeshwi, muhanga SutiBega

Matusi yote haya kisa tu nimekukosoa uandishi wako wa hovyo? Tuna kizazi cha ajabu sana ambacho hakitaki kukosolewa hata pale mnapokosea waziwazi. Jifunze kuandika vzr itakusaidia maishani. After all mafanikio sio kuwa na mali tu, kuna kuwa na familia imara, amani, furaha, maisha ya watu unaowagusa n.k

NB: Jifunze kuandika vizuri kijana
 
Shida wanaume huwa tunakaa vikao tunatoleana na mifano kabisa na kuweka msimamo.
Baada ya hapo mtu akitoka anaenda kusomesha kimya kimya msijue.

Hamjakaa sawa mnasikia aaaah! Kimya. Mkimwangalia mtu anayelia unaona alikuwa mjumbe. Tena siku ya kikao yeye ndio alikaimu nafasi ya katibu akawa anaandika minutes kabisa.
 
Yani mwanamke hapaswi kuhudumiwa kwenye maswala ya shule kabisa hacha familia yake na yeye wahangaike ,watu wanapenda kujifanya wema sana wakati ndugu zao wanashida kibao bila kuwasahau wazazi!
Yani hata siku akikosa hela au nauli ya kwenda chuo unatakiwa kumwambia ungekuwa nayo ungempa lakini kwa sasa huna pesa …..

Mwanamke mpe hela ya Vocha tuu isizidi elfu 30,000/=kama hiyo itamuwezesha kulipa ada sawa….
Matatizo mengine ni kujitakia tuu mwanamke muache ateseke kweli kweli mwenyewe…..
Kujifanya mna huruma ndio kuna waponza
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…