Mchumba hasomeshwi, usishupaze shingo we dada na kaka yangu

Tlaatlaah

JF-Expert Member
Joined
May 18, 2023
Posts
24,665
Reaction score
25,388
jitahidi sana kujizuia kumsomesha mchumba wako. Zingatia apo kwenye uchumba. Nachelea kusisitiza kukushauri kijana wa kike na wakiume, usithubutu kufanya hiyo kitu. Madhara yake ni mzigo mzito sana kubebeka mambo yanapogeuka, japo kwa asilimia chini ya 1 inawezekana 🐒

kwa mchumba,
invest only what you can afford to loose and not otherwise..

Fanya tu kama unajitolea msaada kwa muhitaji yeyote yule na bila kutegemea faida 🐒

Umeripoti police Mzee?

Usije ukanywa sumu mzee

Huo ni wimbo wa Taifa mchumba hasomeshwi na hata mke hasomeshwi labda Veta tena Charahani.
 
Hii dhana ya mchumba hasomeshwi ni nadharia ya kipumbavu zaidi.
Yaani mtu unayetegemea kuja kumuoa/kuolewa, uogope kuwekeza kwake elimu, maarifa na ujuzi, ili iweje?
Je, unapenda kuja kuoa/kuolewa na mtu asiye na kitu kichwani au maarifa?
Mbona mtu huyo huyo huoni hasara wewe kutumia muda wako (uko busy kuwasiliana au kuwa naye), kumnunulia vitu vya thamani vya kupita (kama simu, nguo, mapambo), kumhudumia kila siku?
Kwanini huumii kumpa nafasi katika maisha yako mchumba, halafu uumie kumkuza kielimu?

Ningeelewa sana kama dhana ingekuwa hivi, epuka kujibebesha majukumu makubwa ya gharama ya kumuwezesha mchumba wako ili kupunguza maumivu ya majuto huko mbeleni ikitokea utakosa kumuoa.
 
Wabishi kama wewe ni wengi sana aisee
 
Umeripoti police Mzee?

Usije ukanywa sumu mzee

Huo ni wimbo wa Taifa mchumba hasomeshwi na hata mke hasomeshwi labda Veta tena Charahani.
Yes,
si jambo geni hata kidogo,

tunafanya hivi katika hali ya kukumbushana tu, maana athari na madhara yake physically and mentally ambayo ni makubwa sana, huponyeka kwa wachache tu 🐒
 
Hii dhana ya mchumba hasomeshwi ni nadharia ya kipumbavu zaidi.
Yaani mtu unayetegemea kuja kumuoa/kuolewa, uogope kuwekeza kwake elimu, maarifa na ujuzi, ili iweje?
Je, unapenda kuja kuoa/kuolewa na mtu asiye na kitu kichwani au maarifa?
Mbona mtu huyo huyo huoni hasara wewe kutumia muda wako (uko busy kuwasiliana au kuwa naye), kumnunulia vitu vya thamani vya kupita (kama simu, nguo, mapambo), kumhudumia kila siku?
Kwanini huumii kumpa nafasi katika maisha yako mchumba, halafu uumie kumkuza kielimu?

Ningeelewa sana kama dhana ingekuwa hivi, epuka kujibebesha majukumu makubwa ya gharama ya kumuwezesha mchumba wako ili kupunguza maumivu ya majuto huko mbeleni ikitokea utakosa kumuoa.
Jambo hili si geni, hapa tunakumbishana tu.....

madhara na athari zake physically and mentally kwa walio pitia masahibu haya, ni mzigo mzio wa aibu na fedheha kwa wauhusika, familia na jamii kwa ujumla 🐒

don't try that at school or at home, ni kubaya, ukishupaza shingo damu yako hatudaiwi 🐒
 
Back
Top Bottom