Mohammed wa 5
JF-Expert Member
- Jun 20, 2022
- 1,215
- 3,035
Baada ya kuniletea zawadi ya vifaa vya michezo,jezi, training shoes nk.
Kwenye maongezi akafunguka kuwa performance yangu imeshuka, eti nachoka mapema nianze mazoezi.
Na kila siku atakuwa ananiamsha Morning mapema,nikakimbie.
Anajiona kama kocha wa stars vile eti performance yangu imeshuka
Hili swala linanikosesha Raha kabisa kumbe kujitahidi kote kule no bure eti Niko na low performance.
Nimekosa kabisa confidence wakuu..nahisi kawasimulia kila kitu rafiki zake wamemshauri uko uwongo na ukweri
Kanunua vizawadi vyake ili anisimange hivi..😣🤔