Mchumba kanifungukia kuwa Sina Pumzi nianze mazoezi.

Mohammed wa 5

JF-Expert Member
Joined
Jun 20, 2022
Posts
1,215
Reaction score
3,035
Baada ya kuniletea zawadi ya vifaa vya michezo,jezi, training shoes nk.
Kwenye maongezi akafunguka kuwa performance yangu imeshuka, eti nachoka mapema nianze mazoezi.

Na kila siku atakuwa ananiamsha Morning mapema,nikakimbie.

Anajiona kama kocha wa stars vile eti performance yangu imeshuka

Hili swala linanikosesha Raha kabisa kumbe kujitahidi kote kule no bure eti Niko na low performance.

Nimekosa kabisa confidence wakuu..nahisi kawasimulia kila kitu rafiki zake wamemshauri uko uwongo na ukweri

Kanunua vizawadi vyake ili anisimange hivi..πŸ˜£πŸ€”
 
Baada ya kuniletea zawadi ya vifaa vya michezo,jezi, training shoes nk.
Kwenye maongezi akafunguka kuwa performance yangu imeshuka, eti nachoka mapema

Ulitakiwa ubishe , mwanaume hakubali kifala
 
Amefanya vyema sana kukwambia, tena inaonyesha amekwambia in a polite way, shukuru Mungu,
Wengine huwa hawaambiwi, unashangaa tu kaanza kutoka nje.
 
Piga push up 50 asubuh 50 jioni
 
siku zote ukweli hua haufurahishi lakini bora amekwambia ili uendane na yeye anavyotaka,, angetoka nje bila kukwambia sababu ungesema unachapiwa
 
Bora amekuchana ukweli mkuu
 
Huyo mwanamke ni smart sana na anakupenda. Angeweza kutafuta mtu wa kumridhisha ila kaona yanini bora amtengeneze mtu wake awe anavyotaka. Smart sana. Wadada igeni mfano wa mwenzenu.

Kuhusu kukutangaza ni mtazamo wako tu. Hizo ndio siri za familia sasa.

Hebu nenda ukapige jaramba
 
Mkuu nami nmekubari nikakimbie
 
Anza kufanya mazoezi utapigiwa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…