Mchumba kanuna hapokei simu

hayo mahusiano yao yalikua yanalenga waje waoane baadae?
kama walikua na malengo hayo ni bora akatafuta mwanamke mwingine ambaye ni muelewa, maisha ni mafupi kuendekeza wanawake wa aina hii, wakati mtaani wapo wanawake wanaoelewa wengi tu...
 
Ndiyo mkuu yalikuwa na lengo la ndoa. Na jamaa yangu (man) yuko serious kinoma. Wameanza mahusiano november. 2015. Asante kwa ushauri.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…