Ushauri, mchumba wangu anadai kapoteza Pete ya uchumba, hivi hili jambo, linakaaje yani, limenichanganya mpaka sasa sijaoa, ushauri bha ndugu, nipeni uzoefu hapa,
Mazingira??... alianza kukuambia ?? Au mpaka wee ulipomuuliza ndo akakuambia?? .. Na Km ye ndo alianza, alikuambia baada ya muda muda gan kupita toka ipotee???
ona Chief , Hayo maswali yote majibu yake yatakua sawa na upuuzi ikiwa Mchunba wako haonyeshi mpango wa kuolewa, IPO ivi wanawake niwatu ambao kama Hakupendi au kama hana mpango wa Ndoa huwa Visa na matendo yake vinaonekana wazi, nahata anaweza kukuambia kabisa .....
So maadamu weee na ndo unajua anaongeleaje suala LA Kuoana kwenu, basi chukulia kama alipoteza kwa bahat mbaya.m
Mazingira yakupoteza, na je baada ya kuipoteza alikupa taarifa yeye au uligundua ilo wewe kabla yake kukutaarifu. Navyofahamu kuna mdada fulani namfaham alipoteza engagement ring ilitumbukia chooni alilia mno ila kwa uthamani hakumjulisha mtu wake na kwenda kuinunua pete kama ile nadhan baadae sana ndo alikuja kumtaarifu mwenza wake
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.