Mchumba kutoka moshi

Hapo sasa....waulize wanaenda kazini kufanya nini!!!Kama hawaipendi wasihangaike kuitafuta!
Kuna mwana jamvi alisema "UKIONA KAZI KUFANYA KAZI,ACHA KAZI UONE KAZI"sasa cjui uchaga na hela vinaingiliana vipi,kwanh kariakoo waliopo pale wote ni wachaga? Aaah! samahanini kumbe hata YUDA ISIKARIYOTI ni mchaga. Haya usioe mchaga kumbe wanapenda pesa.
 
HAhaha hahahaha🙂 Unaenda kwanza kupimwa nguvu ya kiuchumi home!!! Akikuta mambo hayalingani standard alizoelekezwa nyumbani kwao ujue NDOA IMEYEYUKA!!! Hiyo ni FAMILY ECONIMIC STATUS ASSESSMENT
 
we wa juu hovyoo! Kwani wachaga wamekua waARABU? Humuoi binti yake mpaka uwe na SEMI za kutosha.
 
Wachagga wachumi sana, huyo baba yao kawaambia wafanye assessment za wachumba kwanza kabla ya kuwapeleka nyumbani, na mojawapo ni economic assessment. Sister yuko makini huyo. Anataka afike kwanza apate value ya assets zilizoko kwenu, ajue economic base, nk.
 
Nafikiri hizo ni taratibu za familia yao walizojiwekea.Kwa upande wa taratibu za kichaga za kimila,ni wazazi wake walitakiwa wafanye upelelezi wa siri kuijua familia yako(baada ya wewe kutuma mshenga,kabla hawajapokea posa yenu).Mara nyingi walichunguza kuna magonjwa ya kurithi kama athma n.k,uchawi na vitu vya namna hiyo.

Ila haya yalifanywa zamani wakati wanaoana wenyewe kwa wenyewe(siku hizi mchaga anaoa mhaya n.k),taratibu hizi hazifanyiki sana.
 
Hapo umeongea point. Umasikini au utajiri wa wakwe unakuhusu nini wakati nyie mwaenda kuanzisha familia yenu mpya. Ni wangapi wametoka family masikini na sasa hivi ni matajiri wakubwa? Ni wangapi wametoka family tajiri na wamedekezwa na sasa hivi wamefulia?

Hata mimi si mchaga ila kabila langu pia wazazi wanachunguza vitu sensitive kama magonjwa ya kurithi, koo za wachawi etc, si mambo ya pesa. Hata mimi nimeolewa na mtu wa kabila nyingine but still my parents waliuliza through their friends wa kabila la mume wangu. SI unajua mjini kuna kila kabila na mtu hakunyimi neno. Uchunguzi waweza fanyika hata kama ni mtu anayetokea mtwara na wewe watokea kigoma.


 
Well spoken nyumba kubwa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…