Mchumba: Masogange kanisaliti

Mchumba: Masogange kanisaliti

warumi

R I P
Joined
May 6, 2013
Posts
16,218
Reaction score
18,440
MCHUMBA wa Video Queen maarufu Bongo, Agnes Gerald ' Masogange ' aitwaye Evance Kom juzikati alijikuta akivunja ukimya kwa kuweka wazi kuwa msichana huyo amemsaliti baada ya kuvunja makubaliano yao. Akizungumza na Jumatatu hii. Alisema hana tena mpango wa kuoana na Agnes kwani kitendo chake cha kuamua kuhamia Afrika Kusini kimeonyesha wazi hawawezi kuishi tena pamoja .

Akisimulia, Evance alisema hapo awali walikubaliana kuwa pamoja kiasi kwamba hadi kufikia kumvalisha pete , wazazi wa pande zote mbili walikwishajua na kubariki uhusiano wao . "Wakati anapanga mipango yake ya kuhamia Afrika Kusini , hakuwahi kuniambia hata mara moja, alikuja kuniambia eti tuhamie huko siku chache tu kabla hajaondoka , nisingeweza kuondoka na kwenda kuanza maisha mapya huko wakati hapa Bongo nina miradi yangu kibao," alisema .

Alisema kutokana na kitendo hicho cha kuhamia huko, pia mchumba wake huyo alikuwa amejiingiza kwenye mambo yasiyofaa ambayo wazazi wake wasingeweza tena kumsapoti kama angehitaji kuendelea na nia yake ya kumuoa . "Nilimpenda sana Agnes na yeye alinipenda lakini alichokiamua ni kizuri kwake, ila kwangu ni kama amenisaliti maana kajiingiza kwenye mambo yasiyofaa hivyo kwa sasa amebaki kama rafiki yangu wa kawaida tu ," alisema .

attachment.php

 

Attachments

  • 1417847204962.jpg
    1417847204962.jpg
    41.9 KB · Views: 2,121
We evans si ulikuwa unaambiwa kila siku huyo agnes sio type yako ukajifanya wewe ndo kidume na ulivyokuwa andunje hvyo agnes atakupeleka wapi nfyuu tutolee uchuro apa kalilie uko
 
Binamu sio vizuri kumchamba mwenzio hivyo.au umesahau kuwa KUKOSEA NDIO KUJIFUNZA@Warumi
 
wanaume wengne akili zao za kushikiwa kweli, hv mtu na akili zako ukamchumbie masogange au shilole si majanga hayo
 
Ni wachache wenye akili ndogo wanaoweza enda kuanzisha mahusiano na watu wa kwenye media au walio onekana au wanaoonekana kwa tv
 
Binamu sio vizuri kumchamba mwenzio hivyo.au umesahau kuwa KUKOSEA NDIO KUJIFUNZA@Warumi

mambo mengine ni kujidharirisha tu, mi sjaona point apo! mahusiano yako ya mapenzi unayatoa hadharani huo si ushenzi?. kibaya zaidi akuna aliyemuuliza. Ebu nikuulize kapata faida gani ss? uyo masogange kurudi? PUNGUZENI USHAMBA.
 
Ushuzi mtupu

Mwenzio kaleta mashtaka, sijui tumsaidieje? Wakat anakula tak* lile anafaidi mautamu wala hakuja kutuambia tushee , sasa yamemkuta anajidai kupayuka kama kameza cherehani, atupishe apa na ufupi wake kama sikio la mbuni
 
du ila kuna watu majasiri!...kapeleka kinu kama kile kwa wazazi...hihihii
 
Kwa hiyo unatakaje? huna contactsvl zake umwambie muhusika?? Em tutolee ----- hapa. Ngoja nikacheki picha za birthday za Dubai mie
 
Ngoja kwanza...... huyu ndo yule mchumba aliyesema atamsubiria masogange atoke jela ili amuoe..... am kweli mso hili ana lile
 
Hivi huyu masogange pozi zake ni moja kupiga makalio na ku post............,
 
dah huyo jamaa anahurumisha yaani anampenda Agnes?
 
Back
Top Bottom