Mchumba "MKE" - Mchaga, Msukuma au Mhehe / Mbena

Astrid

Member
Joined
Dec 4, 2023
Posts
28
Reaction score
27
Habarini ndugu zangu 🙏

Tafadhali rejea: MWANZO 24: 1 - 51.

MHUSIKA AWE NA SIFA KUU KATI YA HIZI ZIFUATAZO:
1. Mchaga, Msukuma, Mhehe au Mbena with a good heart like Rebecca - without pretending or faking behavior
2. Umri : Miaka kati ya 25 hadi 35.
3. NOT HAVING ANY CHILD.
4. Government or private sector employee

Naamini Mungu ni mwema wakati wote.

Mwenye UHITAJI lakini pia mwenye sifa nilizotaja hapo juu na mwenye hekima na busara anakaribishwa.
 
Huko kazini, mitaani, kanisani, misikitini, kweny kumbi za starehe umekosa unakuja hadi kutafuta huku JF??

Anyway hongera kwa huo uamuzi, ila mm hadi nije kuoa labda wanishikie bastola
 
Walioko humu Jf ndio hao hao wanaliopo makazini, kanisani kwa mwamposa, kwenye bajaji, sokoni, kwenye mwendo kasi n.k

Huwezi jua Mkuu, Mungu ana makusudi yake kwa kila mja wake

MWANZO 24: 1 - 51.
 
Kila la kheri
 
Habarini ndugu zangu 🙏

Tafadhali rejea: MWANZO 24: 1 - 51.

MHUSIKA AWE NA SIFA KUU KATI YA HIZI ZIFUATAZO:
1. Mchaga, Msukuma, Mhehe au Mbena with a good heart like Rebecca - without pretending or faking behavior
2. Umri : Miaka kati ya 25 hadi 35.
3. NOT HAVING ANY CHILD.
4. Government or private sector employee

Naamini Mungu ni mwema wakati wote.

Mwenye UHITAJI lakini pia mwenye sifa nilizotaja hapo juu na mwenye hekima na busara anakaribishwa.
Kha huu mchanganyiko wa makabila sifa zao zinaachiana mbali. All in All kila la Heri mtoto wetu.
 
Back
Top Bottom