acha niitwe mbaguzi... umri wangu ni miaka..30.. elim yangu dgree ya madin.. sijawahi owa wala sina mtoto.!! nafanya kazi za kuhama hama yani miezi 6 MTWARA na 6 MARA... nahitaji mchumba awe na kama ifuatavyo---- umri 22 hadi 30... kabila MSUKUMA halisi...asiwe na mtoto... wala...kuwahi kuishi kinyumba na mtu.. elimu awe kuazia form 4 hadi profesa... kama unafiti just pm me now!!