Tlaatlaah
JF-Expert Member
- May 18, 2023
- 24,665
- 25,388
Katika maisha kuna mambo mbalimbali tunapitia kama binadamu, mengine ya furaha lakini pia mengine ni ya huzuni na ya kutisha....
Hivi ulishawahi kujikuta katika hali, kitendo au mazingira ya fedheha na aibu sana, na haukua na namna ya kuepuka fedheha hiyo, mara ghafla mpenzi, mchumba au mke wako akakunusuru na fedheha hiyo licha ya kua umemkwaza kwa mambo mengi lakini akaamua kufunika na kuikumbatia aibu yako...?
Na kwasababu hiyo, leo hii unamuheshimu sana, unamthamini mno na unampenda zaidi ya awali?
Ilikuaje na ilikua wapi 🐒