ulikua una wanga nini muda ule gentleman πDogo tafta kazi ya kufanya achana na huu upuuzi,usiku wa manane watu wamepumzika we kutwa kucha uko bize na jf as if unalipwa
Akishndwa kujaa kingi kwa hizi vocal...ni DM nna mganga fundiCountrywide Mungu akuweke sana, ufanyike baraka kwa watu wote wa nyumbani kwako na hata wale wanaokuzunguka.!! Sio JF tu ila unanipambania hata nje ya JF umekuwa mtu muhimu kwangu, unaweza kuona umefanya kwa udogo ila kwangu naviona kwa ukubwa..!! Kuna kitu ulinitendea mpk leo sisahau, nikikumbuka nazidi kukupenda leo kuliko jana. πππ
ππππππ Sio vocal bana, ni vile nathamini mchango wake kwangu.Akishndwa kujaa kingi kwa hizi vocal...ni DM nna mganga fundi
kwa ushuhuda huu wa hadharini namna hii, tena wa upendo usioghoshiwa na wenye kutanguliza shukrani kwa Mungu, ni hakika Neema na Baraka za Mungu sasa zimeshamiri na kustawi sana ndani yenu, na daima zitaambatana na kuandamana nanyi katika kila hali, kazi na majukumu yenu ya kila siku....Countrywide Mungu akuweke sana, ufanyike baraka kwa watu wote wa nyumbani kwako na hata wale wanaokuzunguka.!! Sio JF tu unanipambania ila hata nje ya JF umekuwa mtu muhimu kwangu, unaweza kuona umefanya kwa udogo ila kwangu naviona kwa ukubwa..!! Kuna kitu ulinitendea mpk leo sisahau, nikikumbuka nazidi kukupenda leo kuliko jana. πππ
Aiiiiimeen πkwa ushuhuda huu wa hadharini namna hii, tena wa upendo usioghoshiwa na wenye kutanguliza shukrani kwa Mungu, ni hakika Neema na Baraka za Mungu sasa zimeshamiri na kustawi sana ndani yenu, na daima zitaambatana na kuandamana nanyi katika kila hali, kazi na majukumu yenu ya kila siku....
inafurahisha na kutia moyo sana...
Mungu aendelee kuwa Baraka miongoni mwenu,
Aimen..
π
Katika maisha kuna mambo mbalimbali tunapitia kama binadamu, mengine ya furaha lakini pia mengine ni ya huzuni na ya kutisha....
Hivi ulishawahi kujikuta katika hali, kitendo au mazingira ya fedheha na aibu sana, na haukua na namna ya kuepuka fedheha hiyo, mara ghafla mpenzi, mchumba au mke wako akakunusuru na fedheha hiyo licha ya kua umemkwaza kwa mambo mengi lakini akaamua kufunika na kuikumbatia aibu yako...?
Na kwasababu hiyo, leo hii unamuheshimu sana, unamthamini mno na unampenda zaidi ya awali?
Ilikuaje na ilikua wapi π
wap hawana maana?Hawana maana, sina sababu hata ya kukumbuka, amefanya sana, halafu anakusaliti, inafuta yote hayo.
wap hawana maana?
wakike au wa kiume?
zingatia shuhuda za wangwana hapo juu, zinaweza kuongoza na ukajiasess na huenda ukabaini kuna mahali ulisitiriwa na mwenza wako dhidi ya fedheha ambayo ingekukumba π