B bwanamajo Member Joined Mar 30, 2023 Posts 36 Reaction score 73 Jun 17, 2024 #21 Nilikamatwa na mjani nikawekwa nyavu 4days lakini bibie alinipambania sana masuala ya menyu na faini walidai 200k akatoa. Alinisave sana . Uboya ni ameolewa na li pot fulan hv juzkat.
Nilikamatwa na mjani nikawekwa nyavu 4days lakini bibie alinipambania sana masuala ya menyu na faini walidai 200k akatoa. Alinisave sana . Uboya ni ameolewa na li pot fulan hv juzkat.