Mchumba mpya wa Wolper achafua hali ya hewa

Naona unamtetea mwenzako

Ila huo mchezo acheni kwani raha gani mnasikia kufokolewa
Hujielewi ww jaribu kuwa na hekima mana haiuzwi dukani acha kudhalilisha watu na heshima zetu mi siwez sapoti mana sijawah muona akigongwa we uliye muona ndo maana unathibitisha
 
Dada zetu wamekua watumwa siku hizi.

Sent from my TECNO-J7 using JamiiForums mobile app
 
Jamani wolper km atakubali kuwa na watu wa chini ndio angenipata mm rijali , but I'm so sad to see this to my beloved , cutest a girl of my dream Jacklin wolper , GOD BLESS U

Sent from my itel it1702 using JamiiForums mobile app
 
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] ...

We jamaa una vijidharau flani hivi amazing!

Sent from my TECNO-C8 using JamiiForums mobile app


Siyo dharau....hata wewe mwenyewe jiulize hapa Tanzania kuna celebrity gani wa maana?
 
Wolper anagongwa na shoga
Daaahh!!!!! Nyie watu mmenishinda aiseee' sijui mmegundu aje???? Kuwa mshika ndiyo hivyo hana marinda[emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji86]

Post sent using JamiiForums mobile app
 
Daaaahhh!!!!!! NDOMANA ALIKUWA HATAKI KUONEKANA KWENYE INTERVIEW YA CLOUDS KUMBE ALIJUA NI MKASI HAKATI MPAKA ASHIKWE NYUMA ...[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji108]

Post sent using JamiiForums mobile app
 
Duuuuuuu!!!!! Nahawa wasanii wetu bhana, halafu ndounaambiwa wasanii kioo cha jamii hebu tafakari

Sent from my itel_it1503 using JamiiForums mobile app
 
SERIKALI YASISITIZA BUNGE KUTOONESHWA MUBASHARA.
_______________________________________

Na Damasus Mtalaze, Kibakwe

SERIKALI imeendelea kusisitiza kuwa azma yake ya kutokuoneshwa Bunge moja kwa moja kuwa ni kutokana na matumizi ya lugha zisizofaa za matusi na badala yake itaendelea kuonyesha vipindi vya Bunge sehemu ya maswali na majibu kwani eneo hilo linawafaa watanzania wote kwa sababu wanapata majibu ya moja kwa moja ya serikali kwa matatizo yanayowakabili.

Hayo yamesemwa na Waziri wa Ofisi ya Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa - TAMISEMI Mh. George Simbachawene katika mkutano wa hadhara uliofanyika katika kijiji cha Pwaga wilayani Mpwapwa hivi karibuni.

Waziri Simbachawene amesema kuwa baada ya Serikali kuona lugha zisizofaa zikitolewa Bungeni, imeona si vyema kuoneshwa Bunge moja kwa moja kwa sababu lugha nyingi zisizofaa haziwafai watanzania kwani hazifundishi zaidi ya kupotosha na kuharibu maadili mema yaliyojengeka katika jamii na hasa kwa watoto.

Mh. Simbachawene amesema kuwa Serikali imeona ni vyema kuzuia Bunge zima kuoneshwa na badala yake kuoneshwa vipande vya maswali na majibu kwa sababu hakuna lugha zisizofaa zinazotolewa sehemu hiyo na kuwa sehemu hiyo Serikali inapata nafasi ya kuwajulisha watanzania kuhusu utatuzi wa shida zao kutokana na swali la Mbunge mhusika alietaka kujulishwa tatizo la wananchi wake.
"Watanzania wenzangu mtu anasimama anamtukana Mbunge mwenzake, mnataka Serikali ioneshe, Mbunge anamtukana Waziri Serikali ioneshe, Mbunge anamtukana Rais, sisi Wabunge tutakuwa tunawafundisha nini watoto wetu? watoto wakikosa maadili mema nani wa kulaumiwa kama sio sisi Wabunge tunaotunga sheria?" amehoji Waziri Simbachawene.

Amesema watanzania wanashida zinazohitaji utatuzi na si lugha chafu au matusi. Ameongeza kuwa siku zote maneno yasiyofaa hayaifai nchi na badala yake yanabomoa na kuwatoa watanzania kwenye umoja, mshikamano, upendo na udugu wao. Amesema uongozi wa awamu ya tano hautakubali tunu hizo zipotee kwa kufumbia macho kama vile Serikali haioni madhara yake, kwani lugha za matusi si maadili ya Watanzania.

Kuhusu tatizo la maji kwa kijiji cha Pwaga, amemwagiza Mkurugenzi wa wilaya hiyo Bwana Mohamed Maje kuwa wale wote walio katika vyanzo vya maji wawe wamehamishwa ndani ya siku 14 na kuwa taarifa hiyo iwasilishwe ofisini kwake haraka. Amesema ni vyema kupata ufumbuzi huo mapema ili watu wasiendelee kuteseka wakati waharibifu wapo wanaonekana.

"Maeneo ya vyanzo vya maji yasipotunzwa watanzania watateseka, kwa hiyo ni vyema kujihadhari mapema kabla maisha ya Watanzania hayajafikia pabaya." amesisitiza Mheshimiwa Simbachawene.

Mohamed Kizungu
 
Ukiwa superstar na usijitambue, balaa tupu

Chura bin Zigo kwanza mengine baadaye
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…