mchumba mpya

mchumba mpya

DULLAH B.

JF-Expert Member
Joined
Apr 21, 2011
Posts
672
Reaction score
149
jamani wazee wa jamvi habari zenyu.
mimi nimepata mchumba mpya 2medate 2kutane lkn yy bikira, so napenda niwaulize maswali macache.
1. je nikukutana nae naweza kurudia zaidi ya mara moja?
2. je, akiumia baada ya kufanya mapenzi atakubali kuolewa na mimi?

wazee naomba mawazo yenu co jokes hii ki2 ni kweli kabisa.

natanguliza shukran zangu

mimi Dulla.
 
Hayo maswali mbona ni kama ya kumuuliza yeye huyo mtu wako!
 
Mkuu Dullah if you don't mind nakushauri haraka saana Edit. Hili jukwaa ni wengi saana na inakua kama umelimit kwa kutaja, Hivo nakushauri fanya hivo mara moja itasaidia utapata variety ya majibu... Please do that narudi baada ya mda mfupi....
 
Dullah Dullah Dullah! ndio alivyokwambia kama yeye Bikra? kwanza una umri gani ? nahisi kama bado uko shule ?
 
Kama unataka kumuoa kwanini ufanye naye kabla ya ndoa.
 
Mungu ibariki tanzania mungu waangalie vijana wako wapenda ngono na uwaokoe na kuwasehehe!! Emen!!
 
Mkuu Dullah if you don't mind nakushauri haraka saana Edit. Hili jukwaa ni wengi saana na inakua kama umelimit kwa kutaja, Hivo nakushauri fanya hivo mara moja itasaidia utapata variety ya majibu... Please do that narudi baada ya mda mfupi....

ushauri wako ukoje?
 
Mhh!! watoto humu wanamaswali jamani!!!
 
jamani wazee wa jamvi habari zenyu.
mimi nimepata mchumba mpya 2medate 2kutane lkn yy bikira, so napenda niwaulize maswali macache.
1. je nikukutana nae naweza kurudia zaidi ya mara moja?
2. je, akiumia baada ya kufanya mapenzi atakubali kuolewa na mimi?

wazee naomba mawazo yenu co jokes hii ki2 ni kweli kabisa.

natanguliza shukran zangu

mimi Dulla.

hivi haya si ndi maswali ya kumwuliza mhusika au wamwogopa?
 
Bikira aliyonayo ni ya wapi.
Hebu fafanua.
OTIS.
 
Kama hajawahi ku DO subiri mpaka muoane? haraka ya nini kulenga Njiwa wako na manati?
 
Ameitunza hiyo bikira hadi leo awe tayari kuipoteza kwako kirahisi tu bila ndoa???? hakuna bikira hapo.
 
wapenda ngono na wachiwi sio kwenu tu......
walaku wa pombe na ...............
kwe heri
 
Achana na mawazo ya ngono kwa sasa, fanya mpango muoane.
Mwenzako kaitunza BIKRA kwa muda wote huo, inabidi nawe umvumilie hadi mtakapofunga ndoa..
 
Back
Top Bottom