mchumba mpya

bikira kuna duka linauza kariakoo,kuna kipini na mseto,hizi ni aina mbili za bikira ninazozijua mm zisizokua original! sijui yy wa kwake kapachika ipi kati ya hizi!
 
unauhakika gani kuwa anayo bikira?
ulishawai kupigwa changa la macho?
 
Wee dogo, yaani wewe asubuhi badala ya kuchangamkia mishe za maana unawaza uzinzi! Mara ya mwisho uliswali lini? Hebu mtafute fasta shehe wa hapo jirani umuulize hayo maswali yako atakupa majibu sawia.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…