mchumba mtukanaji na dharau

mchumba mtukanaji na dharau

jmura

Member
Joined
Apr 27, 2010
Posts
57
Reaction score
9
wadau wa jukwaa hii tabia ya mwanamke kumtukana mume wake na dharau inasababishwa na nini? Au ndio ashakuwa na kidumu?
 
Funguka vizuri nini chanzo, haiwezekani mwanamke aanze tu kumtukana mumewe bila sababu, km ni wewe jipime kwanza kabla hujaomba ushauri.
 
Mie hapo huwa simshangai sana mwanamke, mshangao wangu hapo ni kwa mwanaume. Inakuwaje unaishi na mke wako akudharau kwa kukutukana ubaki unajiuliza kama ana kidumu badala ya kufanyia kazi hio tabia yake mbovu! Sidhani kama ina mantiki yoyote mtu kuishi na mpenzi ambae anakuona wewe taka taka, hio inatoa picha hujitambui, hujielewi na zaidi ni kuwa wewe teja la mapenzi... Mtu wa namna hio ni kumuombea tu siku ifike ang'amuke usingizini and move on.

Mtu anae kudharau na hali ni mpenzi wako, kamwe is not worth it.
 
mura, tata unatukanwa na mke tata??

Nakumgecha?? Au tohanchane imekuzidi?
 
wadau wa jukwaa hii tabia ya mwanamke kumtukana mume wake na dharau inasababishwa na nini? Au ndio ashakuwa na kidumu?
Nakupa ukweli usipokuwa na pesa utadharaulika,dude la uume likikataa happy ndio zaidi.uchafu kutupatupa nguo Kwenye carpet au sakafu ,lazima ujue kupika na kupiga deki,sexual attractive smile and dress sexy .compliment your partner ,shopping ,pay for manicure pedicure ,pay your wife at least 1000 dollar a month for being a wife .work hard .buy her a house. .
 
Funguka vizuri nini chanzo, haiwezekani mwanamke aanze tu kumtukana mumewe bila sababu, km ni wewe jipime kwanza kabla hujaomba ushauri.

Mwanaume pesa nakama hujui mapenzi look for another men . It's not bad to be gay
 
Inasababishwa na Human Papilloma Virus. Mpeleke hospitali haraka, inaambukiza
 
Inasababishwa na Human Papilloma Virus. Mpeleke hospitali haraka, inaambukiza

kingasti acha utani ujue haya mambo yanawakuta wengi nimtimulie mbali nini haiewezekani mtu hujawahi kumuabbuse anaanza kutoa kashfa matusi fedheha ndio maana nahisi isiwe ndio ashapata kidume kinamdanganya
 
Lazima kuna sababu ya wewe kudharauliwa na kutukanwa!

Hizi dharau zimeanza gafla?
Kilitokea nini kabla?
Je hamjawai kuwa na ugomvi?
Je unatimiza wajibu wako?
 
Nakupa ukweli usipokuwa na pesa utadharaulika,dude la uume likikataa happy ndio zaidi.uchafu kutupatupa nguo Kwenye carpet au sakafu ,lazima ujue kupika na kupiga deki,sexual attractive smile and dress sexy .compliment your partner ,shopping ,pay for manicure pedicure ,pay your wife at least 1000 dollar a month for being a wife .work hard .buy her a house. .

Mavi ya tembo pilau....Sioi ng'o, kumbe ninavyosita kutoa uamuzi nitaoa lini nipo 100% corect? nitoe shs. US$ 1,000/pm wakati mie sipati hata robo yake kwa mwezi?sitaoa milele!!
 
wadau wa jukwaa hii tabia ya mwanamke kumtukana mume wake na dharau inasababishwa na nini? Au ndio ashakuwa na kidumu?

Huyo mwanamke anatamani mumewe amle tigo ila anashindwa kumwambia, hivyo basi anamandisha hasira ili mume aseme 'nipe tigo, kama hunipi naenda nyumba'
 
Funguka vizuri nini chanzo, haiwezekani mwanamke aanze tu kumtukana mumewe bila sababu, km ni wewe jipime kwanza kabla hujaomba ushauri.

Samahani mie hii dhana ya eti mwanamke hawezianza bila sababu naipinga aisee tena kwa wanawake sie wa siku hizi ambao tunahangaika tuwe sawa na wanaume!! This is very possible....................Ever heard of Mume *****?, Nimemuweka kiganjani?, Hafurukuti hakohoi??

Do not underestmate the power of a woman mydear tena wa siku hizi!! Wengi wetu hatusubiri kuanza, tunaanza na kumaliza kabisa!!

Katika mojawapo ya qualities zangu kwa mwenza ni ucha MUNGU, utu na heshima (kwa mkubwa na mdogo)
 
Nakupa ukweli usipokuwa na pesa utadharaulika,dude la uume likikataa happy ndio zaidi.uchafu kutupatupa nguo Kwenye carpet au sakafu ,lazima ujue kupika na kupiga deki,sexual attractive smile and dress sexy .compliment your partner ,shopping ,pay for manicure pedicure ,pay your wife at least 1000 dollar a month for being a wife .work hard .buy her a house. .

ukioa mwanamke wa aina hii, tarajia kutukanwa. . .
 
Tata, mpeleke Tarime kwanza kwa mwezi mmoja
Yaani Mama Rhobi amtukane baba Rhobi??

Kwani nani alitoa mahari?? Huo uhuru huo.

tata inauma mtu mlienda kanisani mura a halafu ndio anakutuna sasa ni pepo au nimempa uhuru wote tata
 
pole mkuu ila inaonesha kuna kitu nyuma yake kama vile kuna tabia ulyonayo hapendezwi nayo that is why
 
Back
Top Bottom