J Jeremiah255 Member Joined Jan 31, 2021 Posts 8 Reaction score 8 Feb 24, 2021 #1 Natafuta mchumba ambaye baadae atakuwa mke wang mtarajiwa miaka 28-32 na awe anaish Dar au pwan(kibaha) kwa aliye seriously ani pm
Natafuta mchumba ambaye baadae atakuwa mke wang mtarajiwa miaka 28-32 na awe anaish Dar au pwan(kibaha) kwa aliye seriously ani pm
Fall Army Worm JF-Expert Member Joined Jan 8, 2015 Posts 19,355 Reaction score 14,408 Feb 24, 2021 #2 Unapoishi hawapo au ndo udomo zege??.
1kush africa JF-Expert Member Joined Dec 13, 2016 Posts 9,552 Reaction score 13,090 Feb 24, 2021 #3 Fall Army Worm said: Unapoishi hawapo au ndo udomo zege??. Click to expand... Mzee mtie moyo kijana.
Fall Army Worm JF-Expert Member Joined Jan 8, 2015 Posts 19,355 Reaction score 14,408 Feb 24, 2021 #4 1kush africa said: Mzee mtie moyo kijana. Click to expand... Apambane na hali yake,atakapokutwa ametafutwa na Wanawake ambao Umri wao ni sawa na mama zake asishangae.
1kush africa said: Mzee mtie moyo kijana. Click to expand... Apambane na hali yake,atakapokutwa ametafutwa na Wanawake ambao Umri wao ni sawa na mama zake asishangae.
J Jeremiah255 Member Joined Jan 31, 2021 Posts 8 Reaction score 8 Feb 24, 2021 Thread starter #5 Fall Army Worm said: Apambane na hali yake,atakapokutwa ametafutwa na Wanawake ambao Umri wao ni sawa na mama zake asishangae. Click to expand... Hizo dharau sasa mchumba anapatikana popote haijarish umri,umri ni namba tu
Fall Army Worm said: Apambane na hali yake,atakapokutwa ametafutwa na Wanawake ambao Umri wao ni sawa na mama zake asishangae. Click to expand... Hizo dharau sasa mchumba anapatikana popote haijarish umri,umri ni namba tu