Ukishaanza kusema wewe unapesa ipo kiukweli hata mzuka unakata maana ushatanguliza pesa kuna mapenz ya kweli hapo japo nimwanamke ila ukinitangulizia pesa naisi kama unaninunua
Sent using Jamii Forums mobile app
Unamaanisha nini
Kuna jamaa signature yake inasema " Mchana tochi, usiku magogo...... tufanyeje"?
Sikua huku takribani wiki km tatu hv, vp ameshapatikana ama bdo nije, wa kaskazini mwenzio mimi ila nipo mbali nasaka maisha, km bdo hajptikana ni pm tuyajenge
Kuna jamaa signature yake inasema " Mchana tochi, usiku magogo...... tufanyeje"?
DuhSikua huku takribani wiki km tatu hv, vp ameshapatikana ama bdo nije, wa kaskazini mwenzio mimi ila nipo mbali nasaka maisha, km bdo hajptikana ni pm tuyajenge
Sent using Jamii Forums mobile app
Kwakutanguliza hayo utawapata matapeli nasio walionania ya dhati
Tunashindwa kuelewa mnataka kitu gani.
Tupe ubuyu kuhusu hayo makabila mkuu kwann huyapendiWasalaam / :
Bila shaka sijakosea jukwaa,
Anahitajika mke wa baadae mwenye sifa zifuatazo.
1) Aje na akili yake tu, ( anaejielewa ) asibebe mkoba wala kitenge, kama akili yako haiko vyema, chonde chonde.
2) Umri 20-30, zaidi ya hapo kigezo cha kwanza kitaangaliwa zaidi.
3) Swala la kuwa na kazi / kutokuwa na kazi / kisomo hakitaangaliwa kabisa zaidi ya kigezo cha kwanza.
4) Asiwe mke aliyeachika kwenye ndoa ya aina yeyote.
5) Asiwe wa makabila haya ( mzaramo, mluguru, mkwere, mmakonde, mndengereko, mnyagatwa )
6) Dini yeyote ile.
7) Usiwe na unene wa kutisha.
Sifa zangu :
1) Umri 30 years na miezi mitano.
2) Msomi wa degree moja, mwajiri.
3) Pesa zipo na bado zinatafutwa kwa udi na uvumba.
4) Mzaliwa wa kanda ya kaskazini.
5) Zingine tutakumbushana.
Karibuni sana from now on PM yangu iko wazi.