Mchumba nimempata lakini...............!!!????

Coza Mhando

Senior Member
Joined
Dec 14, 2010
Posts
194
Reaction score
7
Wana JF mpo?
Nashindwa nifanye kipi niache kipi?
Yule mchumba ninayetaka kumuoa amenipa kali ya mwaka,
amenitembelea leo jioni,tukapiga story kwa cna tu,ila akataka kujua kitu kimoja kama nimetahiri au la.
Nikamjibu nimetahiri lakini yeye anataka nimuonyeshe kama kweli,mimi nikamwambia tukishaoana ndio atathibitisha,lakin amegoma anataka aone ,
sasa nifanyeje ndugu zangu?
 
sasa utaoa wawili au hako kabinti kengine inakuaje unazini tuu alafu wakiachaa???nazungumzia hicho kiburudisho jamani????but inshallah kheyr i wish u all dah best my boy,,,,,,,,,:A S crown-1:
 
Sasa hapo kinachokushtua nini?kwa mujibu wa maelezo yako unapewa,hakuna rape case hapo we kamilisha tu hiyo mila. Nadoubt kama kuna kitu kama hicho nway.
 
we vp?tatizo apo ninin?
kumuuliza mchumba juu ya mila za kwao za kurara(mkurya) na kabint au KUNA TATIZO KWA MCHUMBA WAKO?
mmmh watu wengne wanapnda kutuma post ata km hana tatzo....KIUKWELI TATIZO NINI APO?

..NIMEIRUDIA MARA 8 SJAONA PBM..KM ISSUE KURARA NA KIGORI ni issue ya mila inamusishaje mchumba wako mpk ushtuke?
..uko kwenu akunaga mila za ajabu ajabu ata moja?
..unaoa mtu au unaoa kabila?
...theme niliopata apa ni kwamba UMEPATA MCHUMBA N THATS BIG CONGRATS BRAZA....wsh u ol da best...
 
Wewe!!!!!:embarrassed::embarrassed:
 
Kama unaona mila za makabila ya wenzio hazifai, nakushauri uende ukaoe mke kutoka kabila kwenu ili mfanane kitabia wee na mkeo.
 
katibu ajaamka enh?

Mbado anaweka vizuri mafaili, hii krismasi watu wanamalizia michango wasianze mwaka na madeni ya chama,.....vipi umeshapata risiti ya disemba kutoka kwa mhazini?
 
sasa utaoa wawili au hako kabinti kengine inakuaje unazini tuu alafu wakiachaa???nazungumzia hicho kiburudisho jamani????but inshallah kheyr i wish u all dah best my boy,,,,,,,,,:A S crown-1:

ishu ipo hapa kwa hii mila,mtoto anangonoka mapema sana,je watoto wangu nao wakienda kwa bibi yao halafu wakakutwa na mgeni si watamegwa tu,
si atakuwa mzoefu mapema?
 
Mimi nayashangaa haya maneno ya Rose kuliko thread yenyewe..actually yangefaa kuwa ndo original thread!...Sijui kama niko peke yangu katika mshangao huu!...dunia hii pana jamani!
 
Sasa hapo kinachokushtua nini?kwa mujibu wa maelezo yako unapewa,hakuna rape case hapo we kamilisha tu hiyo mila. Nadoubt kama kuna kitu kama hicho nway.

dah,si yatakuwa mazoea yao haya,
daughterz wangu watabikiriwa mapema,
si unajua thaman ya bikra ilivyo !
 
Rose you made my day!
 
mimi nayashangaa haya maneno ya rose kuliko thread yenyewe..actually yangefaa kuwa ndo original thread!...sijui kama niko peke yangu katika mshangao huu!...dunia hii pana jamani!

nilikuwa nasubiria mtu aseme kama ulichosema wewe
 
Mimi nayashangaa haya maneno ya Rose kuliko thread yenyewe..actually yangefaa kuwa ndo original thread!...Sijui kama niko peke yangu katika mshangao huu!...dunia hii pana jamani!

pana kweli kweli km gagulo la mpemba!
paka twende nikakunyweshe maziwa bwana achana na pasua kichwa wa jf..
 
najiuliza kashawakarimu wageni mara ngapi nae?
Je wakija wageni nyumban kwangu halafu hakuna kabinti,mimi nimesafiri,si atamkarimu yeye mgeni?
 
Mimi nayashangaa haya maneno ya Rose kuliko thread yenyewe..actually yangefaa kuwa ndo original thread!...Sijui kama niko peke yangu katika mshangao huu!...dunia hii pana jamani!

Tupo wengi kaka, yaani huyu dada mtata kweli....
Ila nampendaga alivyo muwazi.....
 
Kama unaona mila za makabila ya wenzio hazifai, nakushauri uende ukaoe mke kutoka kabila kwenu ili mfanane kitabia wee na mkeo.

ishu sio makabila hayafai ,kichomata haka kamila,
unafikiri mtoto wa kike anapata picha gani kuhusu tendo la ndoa,
just kiburudisho kwa wageni,mwishowe jilani,mara ooh mtoto muhuni huyu,huoni anafundishwa mapema huyu?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…