NILHAM RASHED
JF-Expert Member
- Nov 29, 2010
- 1,622
- 43
ishu ipo hapa kwa hii mila,mtoto anangonoka mapema sana,je watoto wangu nao wakienda kwa bibi yao halafu wakakutwa na mgeni si watamegwa tu,
si atakuwa mzoefu mapema?
Rose you made my day!
sasa utaoa wawili au hako kabinti kengine inakuaje unazini tuu alafu wakiachaa???nazungumzia hicho kiburudisho jamani????but inshallah kheyr i wish u all dah best my boy,,,,,,,,,:A S crown-1:
vitu vingine...
Hivi mkuu una guarantee utazaa watoto, na kama utawapata, watakuwa wa kike (assuming hakuna mambo ya uhomosexuality kule na TZ kwa ujumla)
Na hata kama watakuwa wa kike, utakuwa unawachungaje wasimegwe? wakiolewa si kithibtisho kuwa wanamegwa? So ichukulie hiyo mila ivo ivo (kama ipo)
Kisaikolojia unaposoma post ya mtu unaweza kupata at least picha na uelewa wa mtu yukoje, mfano akina MS, Mzee mwanakijiji, PakaJimmy n.k Kwa jinsi ulivyopresent hiyo thread yako inaonekana unahitaji darasa kidogo. Huwezi kuwa umewasiliana na mwanamke kama mara sita hivi kisha mkakubaliana eti muoane, ni jambo la ajabu na hapo ndipo ninapotilia mashaka uzoefu wako katika mahusiano.Najuuuuuuuuta yaliyonikuta wanajamii!,
mke mtarajiwa niliyekuwa namtafuta nimempata,nimewasiliana nae kama mara 6 hivi na tumeelewana vizuri,na
taratibu za washenga zimeshaanza.
Amenistua sana na sijui ni mila au ni desturi ya kabila hili kwamba mgeni wa kiume akitembelea kule,muda wa ucku anapotaka kulala,haruhusiwi kulala peke yake lazima apewe kabinti alale nako kama kiburudisho.!
hii ishu ni kweli jamani?
ishu ipo hapa kwa hii mila,mtoto anangonoka mapema sana,je watoto wangu nao wakienda kwa bibi yao halafu wakakutwa na mgeni si watamegwa tu,
si atakuwa mzoefu mapema?
na ushahidi ninano....!!kazi kwako..Najuuuuuuuuta yaliyonikuta wanajamii!,
mke mtarajiwa niliyekuwa namtafuta nimempata,nimewasiliana nae kama mara 6 hivi na tumeelewana vizuri,na
taratibu za washenga zimeshaanza.
Yeye kwa kabila ni wa kutoka kule kaskazini magharibi mwa hii Tz yetu.
Cha kushtusha nimedokezwa na ndugu yangu ambaye anaishi maeneo ya mji ule lilipoanzia timbwili la kumng'oa "nduri", kwa muda mrefu!.
Amenistua sana na sijui ni mila au ni desturi ya kabila hili kwamba mgeni wa kiume akitembelea kule,muda wa ucku anapotaka kulala,haruhusiwi kulala peke yake lazima apewe kabinti alale nako kama kiburudisho.!
hii ishu ni kweli jamani?
Huyu mchumba naogopa kumuuliza ila najua ataisoma hii post!,
karibuni wanaJF.
Kisaikolojia unaposoma post ya mtu unaweza kupata at least picha na uelewa wa mtu yukoje, mfano akina MS, Mzee mwanakijiji, PakaJimmy n.k Kwa jinsi ulivyopresent hiyo thread yako inaonekana unahitaji darasa kidogo. Huwezi kuwa umewasiliana na mwanamke kama mara sita hivi kisha mkakubaliana eti muoane, ni jambo la ajabu na hapo ndipo ninapotilia mashaka uzoefu wako katika mahusiano.
Pia kushindwa kumuuliza mchumba wako jambo dogo kama hilo ni kitu cha kushangaza pia. Halafu hivi kwa mtu aliyeenda shule hata kama ni STD7 la ukweli ni lazima litakuwa limemkomboa kidogo hawezi kufanya mambo ambayo ni kama zilipendwa!!!!
Mwisho acha ubabaishaji katika masuala ambayo yatakugharimu karibu nusu ya maisha yako, mf ukioa/kiuolewa ukiwa na miaka 25-35 elewa kama Mungu amekujalia ukaishi miaka 45 -60 utaishi na mke/mme ambaye hukuwa naye lakini mmeridhiana kuishi pamoja hivyo ni budi awe mtu ambaye hatakukera na kuwa chanzo cha mfarakano. Shirikisha akili yako mpaka mwisho ili ikitokea ujue ni bahati mbaya. Uzembe una gharama lakini gharama ya uzembe mwingine unaauma zaidi!!!!!!!
NI MTAZAMO TU.
point noted with respectkisaikolojia unaposoma post ya mtu unaweza kupata at least picha na uelewa wa mtu yukoje, mfano akina ms, mzee mwanakijiji, pakajimmy n.k kwa jinsi ulivyopresent hiyo thread yako inaonekana unahitaji darasa kidogo. Huwezi kuwa umewasiliana na mwanamke kama mara sita hivi kisha mkakubaliana eti muoane, ni jambo la ajabu na hapo ndipo ninapotilia mashaka uzoefu wako katika mahusiano.
Pia kushindwa kumuuliza mchumba wako jambo dogo kama hilo ni kitu cha kushangaza pia. Halafu hivi kwa mtu aliyeenda shule hata kama ni std7 la ukweli ni lazima litakuwa limemkomboa kidogo hawezi kufanya mambo ambayo ni kama zilipendwa!!!!
Mwisho acha ubabaishaji katika masuala ambayo yatakugharimu karibu nusu ya maisha yako, mf ukioa/kiuolewa ukiwa na miaka 25-35 elewa kama mungu amekujalia ukaishi miaka 45 -60 utaishi na mke/mme ambaye hukuwa naye lakini mmeridhiana kuishi pamoja hivyo ni budi awe mtu ambaye hatakukera na kuwa chanzo cha mfarakano. shirikisha akili yako mpaka mwisho ili ikitokea ujue ni bahati mbaya. uzembe una gharama lakini gharama ya uzembe mwingine unaauma zaidi!!!!!!!
ni mtazamo tu.
Ha ha ha ha ha! Unaogopa kumegewa wanao, sa utawamega wewe-Cheh, hata ndowa bado unaanza kuwafungia milango watoto!
vitu vingine...
Hivi mkuu una guarantee utazaa watoto, na kama utawapata, watakuwa wa kike (assuming hakuna mambo ya uhomosexuality kule na TZ kwa ujumla)
Na hata kama watakuwa wa kike, utakuwa unawachungaje wasimegwe? wakiolewa si kithibtisho kuwa wanamegwa? So ichukulie hiyo mila ivo ivo (kama ipo)
vitu vingine...
Hivi mkuu una guarantee utazaa watoto, na kama utawapata, watakuwa wa kike (assuming hakuna mambo ya uhomosexuality kule na TZ kwa ujumla)
Na hata kama watakuwa wa kike, utakuwa unawachungaje wasimegwe? wakiolewa si kithibtisho kuwa wanamegwa? So ichukulie hiyo mila ivo ivo (kama ipo)
harufu ya ban inasikika kwa mbaali, punguza jwaziba mtafuta mchumba, sasa wachumba si watakimbia kamaradimshazoea nyie,mnahararisha tu upuuzi wenu!
Kisaikolojia unaposoma post ya mtu unaweza kupata at least picha na uelewa wa mtu yukoje, mfano akina MS, Mzee mwanakijiji, PakaJimmy n.k Kwa jinsi ulivyopresent hiyo thread yako inaonekana unahitaji darasa kidogo. Huwezi kuwa umewasiliana na mwanamke kama mara sita hivi kisha mkakubaliana eti muoane, ni jambo la ajabu na hapo ndipo ninapotilia mashaka uzoefu wako katika mahusiano.
Pia kushindwa kumuuliza mchumba wako jambo dogo kama hilo ni kitu cha kushangaza pia. Halafu hivi kwa mtu aliyeenda shule hata kama ni STD7 la ukweli ni lazima litakuwa limemkomboa kidogo hawezi kufanya mambo ambayo ni kama zilipendwa!!!!
Mwisho acha ubabaishaji katika masuala ambayo yatakugharimu karibu nusu ya maisha yako, mf ukioa/kiuolewa ukiwa na miaka 25-35 elewa kama Mungu amekujalia ukaishi miaka 45 -60 utaishi na mke/mme ambaye hukuwa naye lakini mmeridhiana kuishi pamoja hivyo ni budi awe mtu ambaye hatakukera na kuwa chanzo cha mfarakano. Shirikisha akili yako mpaka mwisho ili ikitokea ujue ni bahati mbaya. Uzembe una gharama lakini gharama ya uzembe mwingine unaauma zaidi!!!!!!!
NI MTAZAMO TU.
Hizi tunaita ndoto za mchana sababu wewe hata hujaoa wala kupata hao watoto tayari ushaanza kuwawazia wasimegwe???? ukipata wa kiume wote?? itakuwaje??? Halafu pia wewe ni mdhaifu sana kwanini ushindwe kumuuliza mwenzio hiyo mila?? Nina wasiwasi nikisoma between lines?????