Mchumba Search

Snitch2020

Member
Joined
Aug 24, 2017
Posts
77
Reaction score
91
Habari za mchana wadau.

Sitaki kuwa mzungushaji kwa kuandika maneno kibao.

Mimi ni kijana wa kitanzania late 20's nimeishi nchi mbalimbali na sasa nimeamua kuhamishia makaz yangu Tz japo naona kama kuna dalili ya kuondoka tena kwa sababu hali niliyoikuta siyo niliyoitegemea.

Nahitaji mwanamke kuanzia 20~33 ambaye hajazaa, dini yoyote, kabiala lolote, umbo lolote ila kilo asizidi 70 na asipungue 50.

Awe tayari kuishi Tz ama nje ya Tz, awe tayari kuanza maisha from the scratch kwasababu hakuna alieanza na maisha ya juu. Kama upo tayari email me ur CV at rsteven95@gmail.com ukiambatanisha na picha yako ili kuweza kuitwa kwaajili ya interview. Au pm me kwa mawasiliano zaidi.

NOTE: Kwa walio mikoani nje ya Dar pia mnaruhusiwa kutuma maombi yenu na atakayefanikiwa atafuatwa/atatumiwa nauli ya kuja mpaka Dar kwaajili ya interview.

Karibuni sana na natumaini kusikia kutoka kwenu very soon.

Nitawaletea mrejesho baada ya wiki
 
Siku hizi maisha ni simple sana!!!! Huo uzito veepe!!!

Kila lenye kheri mkuu, Mungu akupe wa kufanana nawe
 
Like serious? ?mchumba kutafutwa anafanyiwa interview,kweli utandawazi
 
Siku hizi maisha ni simple sana!!!! Huo uzito veepe!!!

Kila lenye kheri mkuu, Mungu akupe wa kufanana nawe
Uzito ni muhimu sana asee. Me napenda mwanamke nimbebe hata mgongoni wakat wa kutoka kuoga n.k. sasa kubeba kilo zaid ya 70 kwangu mie ni kama kujitesa na sio mahaba tena
 
Hahahaa duuuh hatari interview
Cc saint ivuga
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…