MCHUMBA Vs H.I.V

Lengo la kupima lilikuwa nini?nadhani jibu unalo mwenyewe. Ni kama mpo salama then wote mfunge ndoa, what if the answer is viceversa??

ameshakwambia mwenzake ni muathirika.mpe ushauri basi!

mkuu swala la muhimu ni je mnapendana kweli??kama kuna mapenzi ya kweli ukimwi sio tatizo,nafikiri wataalam watakusaidia jinsi ya kufanya

Kupenda kitugani? Penda maisha... Achana nae.

hujafa hujaumbika ndugu! We all speak freely what we think..si vibaya..lakini punguza makali!

Miaka mi4 ulikuwa uja-do nae au??? au inawezekana yeye alikuwa anajua ameumia ndo maana alikuwa anakunyimaaaa!!! Lengo la kupima ni nini?????

Huo mtihani sio mchezo ila unaweza kuishi nae na ukabaki salama nenda ukapate ushauri jinsi ya kuishi mnaweza kuishi na kupata watoto

not that easy Dena,kama watataka mtoto itabidi kijana ajilipue and then who knows anaweza akaukwaa

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…