Mchumba wa kike anaitajika

Mchumba wa kike anaitajika

change formula

JF-Expert Member
Joined
Sep 8, 2020
Posts
729
Reaction score
1,559
Hello! natumaini ni wazima, hongereni kwa majukumu ya kujenga Taifa letu. Moja kwa moja kwenye point, naitaji mchumba ambaye Mungu akipendezwa tuingie kwenye ndoa.

Wasifu wangu:
Mwanaume:umri miaka 31.
Mrefu kiasi/mnene.
Single lakini nina mtoto wa kiume 3yrs.
Dini: mkristo Catholic
Edc:elimu ya juu.
Kazi:nimeajiriwa/nimejiajiri pia.
Makazi😀ar es esalaam
Origin:kanda ya ziwa.

Sifa za nimtakae.
Umri:22 na kuendelea.
Kimo awe mrefu kiasi,mweusi wa asili au nweupe sio mkorogo.
Edc: diploma na kuendelea awe na uelewa wa mambo mbalimbali.
Kazi:ameajiriwa au amejiajiri.
Makazi:dar es salaam au mikoa ya pembezoni.
Dini:awe mkristo anaeijua dini vizuri,awe na heshima na upendo.

Kwa ambaye yuko serious tu,tunaweza kuwasiliana PM.

Asanteni na majukumu mema.
 
I'd Yako ya zamani ni ipi??
Hii mpya tunaiogopa hatuwezi kuja PM
Kwanini uifiche ya mwanzo?
 
Back
Top Bottom