Mchumba wa kike anasakwa.

Ok..
kuhusu huo uchumba ningejitolea lakini hiyo point ya 'kujitegemea' inanitisha
mmmh....kaka,utanihudumia kweli au ndo nikihitaji chochote toka kwako itakuwa
'si una kazi yako...'?!
naogopa...sijazoea

best ndio maana akasema anataka mwenye kazi!!! hakuna kuuliza hela ya chumvi, kibiri wala mkaa!!
 
Murphy Japan tunaenda kuchagua usafiri?
 
Una nyumba? iko maeneo gani una kazi? kazi gani? ...una gari? gari gani? tehetehetehe
 
tulipumzika na siredi za wachumba sasa mmeanza tena hebu kwenda zako huko facebook katafute...................

kama wewe una wako si uache wenzio tutafute wa kwetu hata kama njia hii huiafiki?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…