Mchumba wa kike umrimiaka 20-25

Mchumba wa kike umrimiaka 20-25

braniac01

New Member
Joined
Jan 31, 2021
Posts
1
Reaction score
0
Habari wana JF natafuta mchumba wa kike
Sifa
1 awe mkweli kweny mahusiano
2 mchapakazi
3 mcheshi
4 awe na elimu ya kujitambua
5 maji ya kunde mrefu kidogo sio mnene san
6 awr dar es salaam


Njoo PM kwa more zaidi
 
Tafuta pisi kali mtaani uitakayo ,huku mtandaoni ni kubahatisha.
 
Back
Top Bottom