Mchumba wa kiume aliyeokoka anahitajika

dotodoto

Member
Joined
Aug 18, 2016
Posts
50
Reaction score
21
Habari za leo wana JF, naomba niende moja kwa moja kwenye mada kama kichwa cha habari kinavyosema.

Sifa za mchumba ni:
1) Mkristo lakini asiwe wa jina, awe mcha Mungu na mwenye hofu ya Mungu (Mlokole).
2) Awe na miaka kuanzia 35-40 na aliye single.
3)Awe na watoto wasiozidi wawili tuu.
4) Mwenye kazi na miradi yake halali inayoingiza kipato tafadhali.
5) Asiwe na dramas na mzazi mwenzie. Akiwa mjane itakuwa sawa pia. Awe ameshamaliza ujana wake. Sihitaji players, nimewachoka, maana wamenipotezea muda wangu na mengineyo mengi tuu.
6) Awe tayari kupima afya.
7) Awe mkubwa wa familia, atakayeoongoza familia katika misingi ya Yesu Kristo. Asiwe mmnywaji pombe wala mvuta sigara.
8) Awe na upendo wa kweli kwa familia zote mbili.

Jamani naomba tuelewane kuwa siko hapa kucheza, niko serious. Sitaki kuchezewa akili na kupotezewa muda, nimeezeka ambako siko baada ya wao kufanikiwa kimaisha wakaanza viburi na dharau, kama unajiona hauko tayari naomba usinitafute.

Kama uko serious naomba tuwasiliane. Kwa walio nnchi za nnje tafadhali karibuni sana. Naweza kuwa na mahusiano ya mbali, nilishawahi kufanya hivyo na haikunisumbua mimi. Niko tayari kujibu kuhusu mimi PM kwa walio serious na wenye nia ya kweli tuu. Asante, nashukuru sana na Mungu awabariki.

Asante!

dotokulwa11@gmail.com
 
Yaani mwenye mke na watoto anakaribishwa. Yaani nyumba ndogo? Au..
 
Pole sana, maombi yameshindwa kabisa kutatua hili tatizo hadi ukalileta hapa mpendwa? Huenda ikawa ni mojawapo ya njia za kupata majibu yako lakini siishauri sana kwa kuwa inaweza kukupatia fedheha zaidi kuliko kukusaidia.

Endelea kumtumainia Bwana na ungoje wakati wake utakapofika, utapatiwa mume bora wa kukufaa maishani hata kama hana sifa hizo ulizoziorodhesha lakini utaishi nae kwa amani. Ubarikiwe
 
Asante!
 
Mimi sio mlokole Ila ni mkristo thabiti, sasa sijui nafas itapatikana?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…