Mchumba wa kiume aliyeokoka anahitajika

Umri wa 35 - 40 awe amemaliza ujana? labda wa kijijini
 
halafu kuhusu mnywa pombe hcho kipengele kitoe akifika ndani utamrekebisha wengine wanakunywa kwa ajili ya stress bora tu asiwe mlevi.
huku bongo wanaume wanakunywa utadhani wametumwa
halafu walokole nao sio kabisa ulokole ni maisha ya mtu tu anaweza kuwa mlokole ila hafai kwa matumizi
wapo watu hawajiiti walokole ila ni wastaarabu sana
 
Wandugu kama nilivyosema siko hapa kucheza games. Naomba kama unaona haikuhusu au sio muhusika Tafadhali usisumbuke kuweka comments ( haswa kwa wanaume) Nimeona baadhi ya comments nyingi zinatoka kwa wanaume ambao sio wahusika. Tafwadhali naomba mtumie busara na hekima. Ninaamini kama mwanadamu Nina haki ya kuchagua kwa yule nimmtakaye.. Kwa nini baadhi ya wanaume wanajiona wao wana haki ya kuchagua lakini Wanawake hawana haki . Na wengi wao (baadhi) ndio hao wanaojibu sivyo .. Nasisitiza kama hauendani na hitaji langu soma na upite kimmya . Nashukuru
 

Kwa unywaji na uvutaji hapana , hainaga kubadilika akiwa ndani au kummbadilisha akishanioa . Wakati ni sasa kabla ya ndoa . Bado nashukuru kwa ushauri
 
Kwa unywaji na uvutaji hapana , hainaga kubadilika akiwa ndani au kummbadilisha akishanioa . Wakati ni sasa kabla ya ndoa . Bado nashukuru kwa ushauri
uvutaji sijasema ila mnywaji kawaida tuu.hata biblia haijakataza pombe mbona?
 
Naona Serengeti Lager..[emoji39] imenikosesha fursa..[emoji25]
 
hahaaaaaa mkuu kapombe,kanakukosesha na ufalme wa mbinguni lol
Hua kananikata kiu kila baada ya kula ugali[emoji39] [emoji39] na mlenda, kisha nashushia na juice ya tende kabla sijakunywa kikombe moja ya maziwa mtindi.
Hapo sasa ndipo naanza kuchomoa moja moja kutoka mtungini kwakua sina jokofu, huku nashushia na vijipande vya tango..[emoji13] [emoji13]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…