Mchumba wa kiume aliyeokoka anahitajika

kama uko mwanza njoo MICC,leo.single wote tunakutana hapo kanisani nyegezi
 
mungu akupe haja ya moyo wako, ila dada yangu hujasema kama wew ni mlokole,umri,kazi,kama unawatoto, jielezee ili uongeze ushawishi
 
Nitumie namba yako ya cm
 
Wew unasema ulishakua na mahusiano ukachezewa mpk hapo wew ni mchafu huna haki kwa mungu akupe mume mwny mising ya ulolole .
POLE SANA
 
Subil wachina walete viwanda kwanza
 
Reactions: JAK
Njoo inbox nipo seriously pia tuwasiliane
 
Sasa wewe unatoa profile yako kwa kificho ila unayoyataka unaweka barazani kweupee, pyeee!!
Dada doto mimi nipo tayari vigezo vyote ninafiti basi tuwasiliane hatamimi Nimeokoka nipo KLPT mwenge
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…