Habari za Muda huu wapendwa,mchumba wa kiume aambaye yupo tayali kuingia katika maisha ya ndoa anaitajika. Vigezo : miaka 30 mpka 36awe tayali kucheck afya, awe mkristo awe na kazi inayomuingizia kipato,awe na hofu ya MUNGU,awe na wivu wa maendeleo,awe anaishi Dar.