Mchumba wa KUOLEWA

Mchumba wa KUOLEWA

Rock City

JF-Expert Member
Joined
Feb 11, 2012
Posts
1,266
Reaction score
504
Wapendwa ladies,

Salaam!

Kwa dhati natafuta mchumba wa (Mola ajaaliapo) kuja kuoana, kama jinsi ID yangu inavyoonyesha uhalisia, nipo ukanda wa Ziwa yaani rock city
Mimi ni muislam na napenda atakaejitokeza awe ni mwenye imaan yangu kuepusha mambo kadhaa hususan kifamilia,
Napenda walau awe anasimamisha swalat, na ajue kusoma walau Qur'an
Kabila lolote, rangi yoyote, uchaMUNGU mbele

KWA NINI NATUMIA HAPA KATIKA SUALA HILI NYETI:
Naamini ni sehemu sahihi kwa nitafutacho,
Ni jamvi linaloheshimika na kuheshimiwa
Kupitia hapa nadhani naweza kufanikisha

Kwa walio serious na wenye chembe ya kumuogopa Mola, tuwasiliane kwa kuanzia PM nami nitakuwa responsive inshallah


Wasalaam,
 
Kila la kheri

Sent from my BlackBerry 9790 using JamiiForums
 
Kazi kweli kweli. Yaani bado dini ni asset katika ndoa hata kwenye kizazi cha dot com! Kweli kuna watu wagumu kujifunza hata kubadilika. Nadhani kwenye ndoa kitu kikubwa si dini wala jina la mtu bali upendo na uadilifu. Anyways Rock City wewe ndiye mwenye kushika mpini. Una uhuru wa kumchagua umtakaye kwa vigezo vyako. Kuna wacha Mungu niwajuao lakini si wa dini yako. Wako radhi kusamehe sabini mara sabini lakini si wa jino kwa jino.
 
Jaribu kwenda pia kwenye baadhi ya misikitini, kuna wanawake wacha Mungu ambao wanatafuta mtu wa kufunga nae ndoa. Kuna rafiki zangu wawili wameoa kwa staili hiyo baada ya kwenda kujieleza kwa viongozi wa misikiti.
 
kumbe tuna maustaadhi humu:cheer2::cheer2:

mambo ya kuswalisha swala tena loh:target:
 
Back
Top Bottom