Rock City
JF-Expert Member
- Feb 11, 2012
- 1,266
- 504
Wapendwa ladies,
Salaam!
Kwa dhati natafuta mchumba wa (Mola ajaaliapo) kuja kuoana, kama jinsi ID yangu inavyoonyesha uhalisia, nipo ukanda wa Ziwa yaani rock city
Mimi ni muislam na napenda atakaejitokeza awe ni mwenye imaan yangu kuepusha mambo kadhaa hususan kifamilia,
Napenda walau awe anasimamisha swalat, na ajue kusoma walau Qur'an
Kabila lolote, rangi yoyote, uchaMUNGU mbele
KWA NINI NATUMIA HAPA KATIKA SUALA HILI NYETI:
Naamini ni sehemu sahihi kwa nitafutacho,
Ni jamvi linaloheshimika na kuheshimiwa
Kupitia hapa nadhani naweza kufanikisha
Kwa walio serious na wenye chembe ya kumuogopa Mola, tuwasiliane kwa kuanzia PM nami nitakuwa responsive inshallah
Wasalaam,