Mchumba wa Nikki wa Pili awa best student kwenye CPA...

Graduation ya cpa ilikuwa last week. Ndio ametajwa kama best student na kupata mazawadi na ajira kapata kampuni kibao achague yeye aende ipi?

Sasa hiyo ya miaka miwili nyuma imetokea wapi?
Thats nice
 
Kama unafuatilia habari huyu demu alishatangazwaga mwaka jana hata mie hii habari naona imejirudia tena ina maana kila mwaka anasomaga CPA huyu demu au ya sasa ni IPSAS?
 
A

Nafikiri alikuwa best student May 2020 kwa intermediate level, means November akasit kwa final level.
Sasa graduation ya 2020 ndo imefanyika juzi October 2021.
Oh na intermediate level wanapewaga vyetu na wanatangazwaga humo? Au sababu ni best?
 
Ukiwa best student siku ya mahafali unaitwa kutangazwa na kupewa zawadi.
Mfano best student wa intermediate level 2021 aliitwa kwenye mahafali ya Kina Joan na akapata zawadi.
 
Kama unafuatilia habari huyu demu alishatangazwaga mwaka jana hata mie hii habari naona imejirudia tena ina maana kila mwaka anasomaga CPA huyu demu au ya sasa ni IPSAS?

Ngoja nikueleweshe
CPA exams zipo sitting mbili kila mwaka ie mwezi wa tano na mwezi wa 11, kila matokeo yanapotoka waliofanya vizuri huwa wanakua published kwenye ile article ya matokeo.
Kwa wale wanaomaliza mwezi wa tano huwa wanagraduate pamoja na wale wa mwezi wa 11 wa mwaka uliopita pindi ifikapo mwezi wa kumi.
Kwa maana iyo Joan yeye atakua alimaliza CPA mwezi wa 11 mwaka jana na ndio amegraduate mwezi wa kumi mwaka huu. Upo baba[emoji44]
 
Sawa kwahio anatangazwa kabla hata ya muda wa ku graduate? Au wanapo graduate na wale wa Intermediate waliopasua wanatangazwa?
 
Kama unafuatilia habari huyu demu alishatangazwaga mwaka jana hata mie hii habari naona imejirudia tena ina maana kila mwaka anasomaga CPA huyu demu au ya sasa ni IPSAS?
Nye siyo kwamba mnamzungumzia Chemical ? Yule dem rapper wa arachuga ,maana yeye ndo mwaka jana alitangazwa best student
 
Ndio nashangaa huyu demu yeye kila mwaka ni best student tu?
Kuna wakati tuliambiwa ni best student na anafaa kuwa CAG , aisee au anamendea uwaziri wa Fedha mana sa hv nchi ipo kwenye auto-pilot lolote laweza kutokea ...!!! Ila Mzee wa Majalalani alifanya yake 😊
 
Back
Top Bottom