Mchumba wa Ole Sabaya afunguka

Naomba number tafadhali...ntamtumzia ili akitoka namkabidhi.
 
Ajue ndoa tena hamna,ni vile hatuwezi kujua mtu awazalo ila huyu wakati akisema haya moyoni alikuwa na huzuni balaa
 
Hapana mkuu. Mke wa jambazi naye jambazi, anajua siri nyingi.
Hapana bwana...mi kwa vyovyote viwe na iwe..wacha nirukie mchuma..

8 kali sana hii...na dimpo kwa mbaaali aka chachandu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…