Chakwale JF-Expert Member Joined May 17, 2015 Posts 1,080 Reaction score 1,585 Oct 15, 2021 #61 "Maisha ni hadithi tu,kuwa hadithi nzuri isimuliwayo pindi utapokuwa haupo." Ali Hassan Mwinyi Sent from my TECNO L8 Lite using JamiiForums mobile app
"Maisha ni hadithi tu,kuwa hadithi nzuri isimuliwayo pindi utapokuwa haupo." Ali Hassan Mwinyi Sent from my TECNO L8 Lite using JamiiForums mobile app
Dive JF-Expert Member Joined Mar 7, 2013 Posts 895 Reaction score 1,489 Oct 19, 2021 #62 Jamaa kasomea Uganda na Marekani lakini elimu haikumsaidia kabisa.Mamlaka za uteuzi zituonee huruma wananchi
Jamaa kasomea Uganda na Marekani lakini elimu haikumsaidia kabisa.Mamlaka za uteuzi zituonee huruma wananchi
Mchochezi JF-Expert Member Joined Feb 29, 2012 Posts 10,962 Reaction score 7,830 May 6, 2022 #63 Baraka21 said: Kikubwa alichosema anamshukuru Mungu kwa kila jambo. Na mambo yote hupangwa na Mungu.View attachment 1975419 Click to expand... Leo atapigwa mishindo kama yoteeee😆😆
Baraka21 said: Kikubwa alichosema anamshukuru Mungu kwa kila jambo. Na mambo yote hupangwa na Mungu.View attachment 1975419 Click to expand... Leo atapigwa mishindo kama yoteeee😆😆
chazachaza JF-Expert Member Joined Feb 21, 2018 Posts 2,829 Reaction score 3,835 May 19, 2022 #64 Ni hatari Sana kwa maisha ,kuwa na mwanamke mkali kiasi hiki!!