Mchumba wakike anatafutwa haraka sana

Mchumba wakike anatafutwa haraka sana

Brightwomen nimeona PM yako lakini nashindwa jins gani naweza kukujibu yan sijui jins ya kutumia pm please nitumie namba yako nitakupigia tafadhali
 
Swee
Hii emergency km ya mgonjwa kuishiwa damu hii kweli wacha tuone
Sweet16 mi nikajua utani PM jamani nipo serious kweli I need someone kwa maisha niliyobakiza hapa dunian ingawa sio jambo zur kutafuta mtu mtandaoni lkn kwa uzoefu wangu humu watu wapo serious kweli ingawa wengine tukidhan ni utani tu
 
Jamani nitumie namba nitawapigia nashindwa kutumia PM kujibu SMS please
 
Jamani nitumie namba nitawapigia nashindwa kutumia PM kujibu SMS please
Kumbe wanakisa kuja bhenyewe PM ee??? Apo utarokota dem afu baada ya muda mtakuja kudhalilishana umu sie tunacoment tu
 
Mh poleni jmn nilio Wa waandika hapa majina sikujua km ni vibay mi mgeni Wa haya mambo jmn samahan nini sana
 
Brightwomen nimeona PM yako lakini nashindwa jins gani naweza kukujibu yan sijui jins ya kutumia pm please nitumie namba yako nitakupigia tafadhali

Hivi kumbe mwitikio huwa upo, nilijua Rwakatare msanii tu.... naanza kuamini wacha niandae tangazo.
 
Back
Top Bottom