Mchumba wangu ameniuliza "Lowassa ndio nani?"

Huyo ndo mwanamke wa kuoa sasa, sio kila kitu awe anajua unakuta mwanamke hadi unabishana nae kuhusu mpira na akakupinga kwa hoja sasa ndo mwanamke gani huyo wa kuwa nae
Pigo hzo anazo mke wa jirani yangu Yaan mkiwa mnapiga stori Iwe za Mpira Iwe bongo fleva hata kama anapika atatoka tuu Kuja kuchangia Mada
Dizain flan ni wale madada kajua yote😁
 


Wewe mwenyewe unajiona uko tayari kuoa na kuishi na mtu mwingine atakaye kutegemea maisha yako yote yaliyobaki duniani.Nakuombea usije ukamsababishia dhambi ya uzinzi huyo binti wa watu na kumtelekeza.kwa mazungumzo yako,msipokuwa waangalifu shetani atawaaingiza kwenye uzinifu

Mungu awatanguliea
 
Mleta mada, kama ni kumpima mtu angalia maeneo muhimu ya maisha, swala la kumfahamu Lowasa sio la muhimu katika maisha.

Mpime kwenye imani, malezi, kutunza familia, upendo nk.

Sisi tunaowafahamu wanasiasa na kuwabishania kila siku tumeongeza nini kichwani.
 
Ipo siku atauliza Amicus Curiae ndio nani.....
[emoji1][emoji1][emoji1][emoji1]
 
Pigo hzo anazo mke wa jirani yangu Yaan mkiwa mnapiga stori Iwe za Mpira Iwe bongo fleva hata kama anapika atatoka tuu Kuja kuchangia Mada
Dizain flan ni wale madada kajua yote[emoji16]
[emoji2][emoji2][emoji2]
 
Mkuu umezungumza jambo ambalo namuomba sana Mungu nisije nikathubutu kulifanya na huyu binti kabla ya ndoa, jambo lenyewe ni hilo tendo la ndoa.

Niko makini sana kwenye hili eneo. Manakeeee [emoji28]
 
Asante sana mkuu kwa busara hii. Nimekuelewa vizuri sana. Ubarikiwe!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…