Mchumba wangu ameniuliza "Lowassa ndio nani?"

Hongera kwa kupata mchumba muimba kwaya aliye kwenye kikundi cha maombi church bila shaka atakua bikra mkuu[emoji4]
Kuhusu mambo ya wanasiasa utamchanganya huyo muulize habari za mitume na wake za manabii tu
Lily Tony vipi wewe unamjua Lowasa au humjui?
Kuna kitu hapa nataka nijue kabla sijaingia mazima penzini
[emoji28][emoji23][emoji23][emoji23]
 

Sasa kumjua Lowasa inahusikaje na mambo ya bikra yake
 
Nusu ya uzi mzima unamuelezea binti tu hemu acha kuwa limbukeni wa mapenzi aisee 😬
 
Mchungaji Hananja anasema Wanawake ni watu wa kuulizauliza maswali kama watoto hata anaona umevaa kiatu cheusi anauliza hiki kiatu ni cheusi? mjibu ndio, mko ndani wote anauliza nani anapita nje? inatakiwa umpejibu ni kibaka huyo/jirani yetu. Hivyo mjibu tu hata usikwazike.
 
Mchungaji Hananja anasema Wanawake ni watu wa kuulizauliza maswali kama watoti hata anaona umevaa kiatu cheusi anauliza hiki kiatu ni cheusi? mjibu ndio, mko ndani wote anauliza nani anapita nje? inatakiwa umpejibu. Mjibu tu hata usikwazike.
Kweli kabisa mkuu [emoji2]
 
Alimaliza form four akiwa na miaka 21? Alikuwa jimama shuleni
 
Hongera kwa kupata mchumba muimba kwaya aliye kwenye kikundi cha maombi church bila shaka atakua bikra mkuu[emoji4]
Kuhusu mambo ya wanasiasa utamchanganya huyo muulize habari za mitume na wake za manabii tu
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Inategemea na mwaka aliozaliwa Kama alizaliwa miaka ya 2000 na si MTU wa mitandao Basi hawezi jumjua
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…