toka nduki kabla ujafa kwa presha..
Nimebahatika kupata mchumba nadiriki kusema tunapendana ila kunatatizo linamsumbua mchumba wangu huwa baadhi ya cku huingiliwa ucngizini na akiamka huwa na dalili zote za kufanya ngono tena hapo huanza kunichukia mimi bila sababu kwa muda kama cku tatu na baadhi ya cku kunambia hanitaki ila akisha tulia huwa na upendo mzuri tu kwangu wasiwac wangu tukija kuona kweli tutadumu kwa hali hii au niachane nae kiukweli tunapendana
Kwa hiyo hayo majini mahaba yanammiminia manii ndani?au yanatumia ndom?
acha utani wa kijinga we boya,au ndo unafanya kujifunza?hii si komedi...nikiripota habari hii mi ni askufu kakobe dochi vele mlimani city