No Escape
JF-Expert Member
- Mar 7, 2016
- 6,663
- 7,785
Nimeona niandike uzi huu usiku huu,leo mchana kutwa Nilikuwa nikiwaza! Mara ya mwisho aliniuliza una mpango gani na mimi? Kumbe yupo humu anatafuta mchumba ,vigezo alivyotaja vyote ndio ninavyo mimi...Huyu mchumba jamani mkataeni arudi kwangu,mwezenu sijalala leo....Kinachoniumiza ni yule chura tu.